lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,911
- 5,500
Kumbe ukiwa ugenini inabidi ucheze kwa nidhamu ya kiuoga ???Ndugu unaorodhesha hizo timu kubwa unajua nidhamu ya mpinzan mkubwa ukiwa kwake? Nyie mashabik wawap jaman?
Liverpool alienda kushambulia nyumban kwa city nn kilimkuta?
Spurs alienda kushambulia kwa city nn kikumkuta
Arsenal alienda kushambulia kwa city nini kilimkuta
City alienda kushambulia nyumban kwa liverpool nini kilimkuta
Spurs alikuja kushambulia old traford nn kilimkuta
Ukishinda ugenini unatkiwa kuwa na wachezaji wenye uwezo binafsi wa kuamua matokeo kwa hali yoyote united unao?
Acheni porojo.
Mbona man city alipokuja old Trafford hakucheza kwa nidhamu kama kwa kuiogopa Manchester united ?? Je, unakubali Guardiola ni master mind ????
Na mbona Tottenham mechi ya kwanza old Trafford hakucheza kwa hiyo nidhamu unayoisema wewe ila alituzidi kwa kila takwimu ??? Angalia takwimu nimekuwekea hapo chini vs man city na Tottenham pale old Trafford , kwanini hatukuwafanya wawe waoga na tuwazidi kiwango kama wao wanavyotufanya tupack bus tukiend ETIHAD STADIUM AU WEMBLEY. Jibu ni Moja tu Mbinu za kocha Wetu hazifanyi kazi vs Timu kubwa haijalishi ni uwanja upi.
Kubali kataa Manchester united vs timu kubwa iwe old Trafford au away kipindi hiki Cha mourinho tumekuwa na poor performance.
Halafu mbona tukiwa ugenini na Nyumbani vs timu ndogo tunakuwa na statistics nzuri , vipi kwenye team kubwa ?
Ndio maana nakwambia mourinho hana uwezo na mbinu za kupambana na tittle contenders wenzake ( Arsenal, Liverpool,mancity, Chelsea au Tottenham)
Nakuwekea picha hapa chini uone kiwango cha Manchester united vs timu kubwa akiwa old Trafford au away na kiwango chake vs ndogo akiwa old Trafford au away.
Kama usipoelewa ninachomaanisha basi Mfumo wa elimu yetu unahitaji mapinduzi makubwa sana.
GGMU