Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kama Pogba angelikuwa anacheza chini ya Pep nadhani angelikuwa na assists sio chini ya 20+.

Mpira wa sasa ni mpira wa kasi yeye anawaza kuzuia tu
Mpira wa city ni wa kasi sana yule dogo pogba asingehimili ule mchakamchaka angekosa muda wa kupaka rangi nywele na kupost video za kipuuzi anacheza cheza mziki
 
Mi nakubaliana na mashabiki wenzangu wengi kuwa tatizo Pogba analaumiwa sana kwa makosa ambayo siyo yake, Pogba wa Juve na France sio Pogba huyu wa Man Utd.

Akiwa Juve alikuwa anacheza akiwa na Attacking mind hata kwenye midfield anakuwa free sana huku kazi ya kudefend na kuchukua mipira katikati anamuachia Vidal afanye kazi hyo, ndo maana tulikuwa tunamuona anashowcase uwezo wake na skills lakini chini ya Mourinho hicho kitu kimekuwa limited.

Mfumo wa 4-2-3-1 hatakiwi kuwekwa kwenye holding au kudefend position rather anapaswa kuwekwa kwenye front attacking players labda in btwn Martial and Rashford au pembeni kushoto anapopapenda zaidi na anapokuwa free.

Kama mtakumbuka game na Everton tulicheza 4-3-3 mlimuona Pogba alivyokuwa free kwa sababu aliacha kazi ya kudefend akawa anasaidia kupeleka mpira mbele na kushambulia yule ndio Pogba ambaye alikuwa Juve na ndio anakuwa very comfortable kucheza kitu ambacho kwa sasa anashindwa kufanya.

Na hii trend ndo inayofanya wachezaji wazuri Mourinho anagombana nao the like of Ronaldo akati akiwa Madrid, Salah ambaye sasa tunaona alivyo on form, KDB, Casilas na wengine wengi. Mourinho kama kocha anatakiwa abadilike aache kuendekeza mabifu na wachezaji wake hii haisaidii vijana, sisi tumemuuza Depay lakini mnaona moto anaouwasha huko Lyon. Last season Herrera alikuwa mhimili wa Midfield lakini mwaka huu mchizi kamuweka Benchi bila sababu yoyote tusipoangalia na yeye tunaweza kumpoteza.

paul-scholes-quote-paul-pogba_e5s5m1scsg9815lu589649d7e.png
 
View attachment 696546
Good Analysis,Mourinho is ruining Pogba's performance
 
Mou inabidi aachane na ule mfumo wake wa mshonge...mshonge unatupa wakati mgumu.

Bailly asharudi , ni muda arejeshe mfumo wa 4 3 3
 
Mkuu inawezekana ni kwa sababu ya kutokuwepo baily tunashindwa kucheza mfumo huo 4-3-3??
 
On Pogba

Paul had a very professional behaviour. This week was not different to what Paul is every week. He works well, he’s a good professional He likes to train. I’ve never had a single problem with him. He likes to train.

I was laughing over the past week because I heard and watched, read a few things, and I’m not English but I think I understand English enough when you want to say box to box.

But with some comments from some important people in football I got a little confused.

For me box to box means box to box. You have to be good in this box and have to be good in that box.

It means you have to defend well in this box, the physical condition and desire and stamina to go until the other box. In the other box you have to be good at scoring, creating, heading and so on.

And when your team loses the ball you have to go to the other box. Now I’m confused when some people say box to box has to play free of defensive duties. That’s not a box to box. That’s a box in the box and stay in that box. Don’t move from that box!

I think this country produced a lot of box to box players. I had the pleasure to coach some of them, but nowadays with some pundits, some agents, some family members, the concept of box to box is changing a little bit.

It looks like we are going to a different concept. Box to box are not my words. I heard it for the first time in 2004 when I arrived. For me, with my Portuguese and trying to translate to the English I just think midfield players.

For me Paul is a midfield player. He’s not a left back, he’s not a striker. When people ask his best position: he’s a midfield player. It depends on the tactical system but he will always be a midfielder.

Then with so many opinions, and we are in a world of opinions, people can get confused. There is no confusion between me and Paul. It’s difficult to play a midfielder with more potential than Paul.
Huyu ni muhuni tu asiyejua matumizi ya wachezaji
 
Good Analysis,Mourinho is ruining Pogba's performance
Nishawahi kugusia hilo humu tena kwa mifano halisi lakini kuna watu hawasikii hawaambiliki juu ya Mou,akiwadanganya na tumaneno twake twa kishenzi basi inatosha!
 
Roy Keane: “I always think if you’ve got Ashley Young in your back four you’re going to struggle. I think the guy’s a disgrace and if he’s a Manchester United player, I’m a Chinaman.”

[HASHTAG]#MUFC[/HASHTAG]
View attachment 695983
Wewe hebu utuambie kwanza bado unaamini Paul Scholes alipo criticize mchango Wa pogba kwa timu alikuwa anamuonea wivu kwa sababu anapokea hela nyingi!? Na uzuri alisema "wakati mwingine huwezi amini ni kwa namna gani timu inakuwa na mchezaji kama pogba na bado ikashindwa kumtumia,wakati mwingine pengine meneja naye ana feli pia". Ulimuunga mkono Mou basi tu,mwenzio alikuwa anajibu pumba ili kujinasua kwenye shot ya kweli aliyopewa.
 
Umeandika vizuri sana Mkuu , nilikuwa miongoni Mwa wadau walioliona hili tatizo la Mourinho ila mwenzetu Radika aliongoza majeshi ya kutuponda.

Ni ukweli ulio wazi Mourinho mbinu zake ni "outdated" hawezi kuivusha team mbele zaidi ya hapo.
Yaani huyo Radika hata Leo hii Mourinho aseme kuanzia Leo Alexis Sanchez ni daktari Wa timu na si mchezaji tena, jamaa atakuja kumuunga mkono kocha hadi mgombane nae hapa. Sijui kwa nini anamwamini sana Jose kwa kila asemacho
 
Hapo mourinho alitakiwa aingie yeye kukaba?
Pogba kamnyima pasi lukaku
Rashford tunatoa suluhu 2-2 na leicester city kwa huo uzembe wao ndivyo alivyotumwa?

Pogna anapotezwa na dembele hovyo hovyo hapo kocha anatatizo gani?

Kweli kuna muda anachemka hiyo hutokea kwa makocha wote hata kipindi cha sir alex hatukua tunacheza mpira kama wa barcelona isipokuwa tulikuwa tuna watu makin wa kumalizia nafas za kufunga mpira wa ulikuwa unachezwa wa pasi tatu golini sasa leo unamlaum mourinho kwa hawa wachezaji wa kawaida ni chuki zako tu kushika nafasi ya pili sio jambo dogo kwa kocha ambae anaingia msimu wa pili na wachezaj aliowakuta klopp msimu sijui wa 3 hakuna hata dalili ya kombe lolote wakat last year mourinho kafanikisha kwa nn hamuoni hilo?

Smalling,jones,young,fellain,rashfiord,lingard,scott wapi utawakuta katika benchi hao zile top 5?
bc41e399fb25f71d1ac13630c4c0d204.jpg
ce0397cd5d08bda32666c8526c10838f.jpg
8b6d90d8b39554d9ee18acc5d4196dc2.jpg
b66bbde65dfb12a5a638d36f02c017b9.jpg
 
Conte kenda chelsea mliona timu aliyoikuta manchester united hata nusu hatukufikia kwa sasa yeye mwenyewe anaichezea haya pep city ilikuwa na wachezaj 6 level ya dunia njoo spurs shughuli yake mlikuwa mnaona kidogo liverpool klopp aliikuta liverpool haipo sawa akaanza kuijenga mwenyewe kwa nn mnamlaum kocha huyo?

Angefika na kufukuza wakina lingard mngemuelewa? Kocha anaingiza players taratibu hadi kufikia malengo ya timu mpeni credit mourinho haijarishi anacheza mbinu gani lakin ukiwa na top players hata basi ukipak unashinda
 
Wewe hebu utuambie kwanza bado unaamini Paul Scholes alipo criticize mchango Wa pogba kwa timu alikuwa anamuonea wivu kwa sababu anapokea hela nyingi!? Na uzuri alisema "wakati mwingine huwezi amini ni kwa namna gani timu inakuwa na mchezaji kama pogba na bado ikashindwa kumtumia,wakati mwingine pengine meneja naye ana feli pia". Ulimuunga mkono Mou basi tu,mwenzio alikuwa anajibu pumba ili kujinasua kwenye shot ya kweli aliyopewa.
Ndugu kuna muda kocha anatakiwa kuwatetea wachezaji wake hata kama wapo ktk kipindi kibaya chukulia zidane na wale wanaomkosoa benzema umewahi kusikia majibu yake? Bakayoko na conte jamani hizo na taaluma za watu ukiruhusu ukosoaji uingie ktk dressing room huna haja ya kuwa kocha lazima asimamie na kumlinda mchezaji wake hata sir alex alilinda wachezaji wake au tatizo mnaliona kwa mourinho?

Ndugu hukumbuki sir alex aliwah kuzuia ferdinand asipimwe kama anatumia madawa ya kuongeza nguvu?
 
Conte kenda chelsea mliona timu aliyoikuta manchester united hata nusu hatukufikia kwa sasa yeye mwenyewe anaichezea haya pep city ilikuwa na wachezaj 6 level ya dunia njoo spurs shughuli yake mlikuwa mnaona kidogo liverpool klopp aliikuta liverpool haipo sawa akaanza kuijenga mwenyewe kwa nn mnamlaum kocha huyo?

Angefika na kufukuza wakina lingard mngemuelewa? Kocha anaingiza players taratibu hadi kufikia malengo ya timu mpeni credit mouringo haijarishi anacheza mbinu gani lakin ukiwa na top players hata basi ukipak unashinda
Mimi naamini hao hao kina lingard kama wakipata kocha Wa kucheza mpira watawaka sana. Pengine Mou ana Misuse wachezaji ndugu hulioni hilo? Pogba toka juve alikuwa huko free sana na alikuwa ni more attacking player and not so defensive one. Hapo ndio mana akaweza kuonyesha ujuzi wake kwa kiasi kikubwa.
 
Unaona mnavyochanganya madesa msimu wa mwisho vidal na pirlo walipoondoka juve je kiwango cha pogba kilishuka unajua alipokuwa akicheza walipoondoka hao?

Lingard wamepita makocha wangap pale je aliwah kufikisha hata goli 8 ndani ya msimu mzima?
 
Kushuka kunaweza kutokana na mabadiliko ya chemistry tu.
 
Basi hakuna haja ya kumlaunu mourinho kuna kipind mwaka 2008 sir alex alikuwa akimpanga tevez,ronaldo,berbatov,rooney ktk mech moja hebu niambie wanachezaj hapo?

Pogba ni kiungo sioni mjadala wa kwamba et atafutiwe watu ili acheze vizur huoni kama ni hasara je hao wakiumwa wa kmsaidia means timu imekufa halafu mna mech muhimu chukulia rooney nafikir hakucheza namba 1,3,4 na 5 tu kwa nini pogba hatak kujituma kama alipokuwa juve anarud had kukaba? Mchezaj atapangwa vile kocha anataka acheze mchezo fulani kUmkabili adui no matter what
 
Mi nakubaliana na mashabiki wenzangu wengi kuwa tatizo Pogba analaumiwa sana kwa makosa ambayo siyo yake, Pogba wa Juve na France sio Pogba huyu wa Man Utd.

Akiwa Juve alikuwa anacheza akiwa na Attacking mind hata kwenye midfield anakuwa free sana huku kazi ya kudefend na kuchukua mipira katikati anamuachia Vidal afanye kazi hyo, ndo maana tulikuwa tunamuona anashowcase uwezo wake na skills lakini chini ya Mourinho hicho kitu kimekuwa limited.

Mfumo wa 4-2-3-1 hatakiwi kuwekwa kwenye holding au kudefend position rather anapaswa kuwekwa kwenye front attacking players labda in btwn Martial and Rashford au pembeni kushoto anapopapenda zaidi na anapokuwa free.

Kama mtakumbuka game na Everton tulicheza 4-3-3 mlimuona Pogba alivyokuwa free kwa sababu aliacha kazi ya kudefend akawa anasaidia kupeleka mpira mbele na kushambulia yule ndio Pogba ambaye alikuwa Juve na ndio anakuwa very comfortable kucheza kitu ambacho kwa sasa anashindwa kufanya.

Na hii trend ndo inayofanya wachezaji wazuri Mourinho anagombana nao the like of Ronaldo akati akiwa Madrid, Salah ambaye sasa tunaona alivyo on form, KDB, Casilas na wengine wengi. Mourinho kama kocha anatakiwa abadilike aache kuendekeza mabifu na wachezaji wake hii haisaidii vijana, sisi tumemuuza Depay lakini mnaona moto anaouwasha huko Lyon. Last season Herrera alikuwa mhimili wa Midfield lakini mwaka huu mchizi kamuweka Benchi bila sababu yoyote tusipoangalia na yeye tunaweza kumpoteza.

View attachment 696546

Mkuu vidal alienda buyern akamuacha pogba pirlo alienda marekan akamuacha pogba kiwango kilishuka? Je kazi ya kuchukua mipira ilifanywa na nani?

Binafsi sikubaliani na mchezo wa kujilinda ila pogba tatizo analo mwenyewe pia akiamua kulifanyia kazi atakuwa mzur zaidi hata mm napenda awe free ila sio mech zote atakuwa free hebu chukulia herrera ni kiungo mkabaji?
 
Mi nakir kabisa nlikuwa namchukia mourinho alipokuwa chelsea akikutandika hata kamoja kurudisha muwe 22 uwanjan mkifanikiwa bahat yenu ila si kwamba hakuwa na mafanikio hiyo ilitokana na wachezaji aliokuwa nao waliotimia na kujua majukum yao anaamua acheza vipi hata kushambulia anashambulia kufuatana na mech husika hadi muda huu hatujachezea goli 4 au 3 na ile tumu yetu ilivyo lakin wengine hizo kawaida tu bado mnataka atoke aje nani? Labda zidane akifukuzwa madrid akubali tena kuwa kocha lakin hao wengine kuchukua kombe tu mgogoro ancelot umr umeenda unapiga Mpira mwingi na kushambulia sana mwisho wa siku kabatin hola
 
Nishawahi kugusia hilo humu tena kwa mifano halisi lakini kuna watu hawasikii hawaambiliki juu ya Mou,akiwadanganya na tumaneno twake twa kishenzi basi inatosha!

Hakuna haja ya kutukana, kila mtu ana upeo binafsi wakuchambua mambo. Kama wewe unaona Mourinho hafai, wako wanaomuona anafaa.
Tumia maneno ya kistaarabu.
 
Back
Top Bottom