Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ndo mana nimekaa kimya

Nakumbuka arsenal walipomnunua Xhaka walikimbilia kumlinganisha pogba kwa sasa kimya hata hao liverpool aliwekwa jordan henderson na allen wa stoke city kwamba ni bora kwa pogba wako wapi?

Jaman pogba ni kocha tu akitafuta kiungo wa kumfanya awe huru hizi kelele zitasepa

Wanaoujua mpira nafikir walimuona akiwa juve kaingia kwenye kikos bora cha fifa mara mbili mfululizo akiwa na miaka 23 tu tena wachezaj 11 sisi wa tanzania bado sana tunaongozwa na chuki sio uhalisia wa jambo suala la muda tu

Jamaa kahamia kwa kdb baada ya viungo wa liverpool kusepa


Kwa sasa KDB anafanya vizur sana.

Nashukur kwa kuweka takwimu za kila mchezaj alielipuka msimu mmoja mmoja
Sio kwa sasa...
KDB ni mnyama muda mrefu tu...
Labda wewe shabiki maandazi wa manure ndio umemjua KDB msimu huu..!
 
KABLA YA PEP GUARDIOLA KUJA TUNGEAEMA OOOOOH, EPL INA UPIMZANI. ILA KAJA HUKU YEYE ANAPIGA KILA MTU. Mwezi wa tatu anatangaza ubingwa.
 
Naona pogba hana morali tena toka mechi inaanza nlimuona hayupo sawa

Pia mourinho sio mjanja kumshinda
Ander herrera

Toka mwanzo alipokosekana tu nkajua maumivu

4 3 3 ndo mpango huu mfumo wake wa 4 2 3 1 spurs na liverpool watatuoa pale.
Herrera ni majeruhi
 
Back
Top Bottom