Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mechi hii wakulaumiwa ni wafungaji, walipaswa wawe wamefunga si chini ya goli 3. Utashangaa watu wanamlaumu Mou.
Lazima alaumiwe ufindishiji wake unawafanya wachezaji mara nyingi wanakuwa na nawazo ya kujilinda team aina speed.
Wachezaji awana nguvu wanaanguka tu, nauliza hii team mara ya mwisho ni lini wamefunga goal la mpira wa kona
 
Mechi hii wakulaumiwa ni wafungaji, walipaswa wawe wamefunga si chini ya goli 3. Utashangaa watu wanamlaumu Mou.
Atalaumiwa kwa selection yake mbovu ya first eleven. Umeona baada ya kina Mata kuingia walivyopiga mpira mkubwa? Narudia tena na mnitukane tena. "HAKUNA MECHI ATAANZA MARTIAL UKASHINDA"
 
Back
Top Bottom