Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Utoto mwingi hii team tusitegemee chochote kile kwa wachezaji hawa
Mkuu timu hii imekosa mtu mmoja muhimu sana, Mchezeshaji. Wakati ule tulikuwa na Rooney sasa hatuna angalao tunae Mata, angekuwepo ungeona tofauti kubwa. Huwa namfananisha sana na David Silva wa Man City.
 
Mimi namkubali MATA kuliko POGBA kwa sasa, maana ana uwezo wa kuchezesha timu hasa kwa hii combination ya Sanchez ndio penyewe
 
Back
Top Bottom