Mbona kama una mihemko??Common Newcastle! Fvck them right now
Kwanini?Hivi tumeenda fuata sare au ndio Mou amekubali huu auwezi
Kuna mchezaji asiekosa goli?Tuna jipu moja kwenye hii timu..Ona limebaki peke yake na kipa limekosa.![]()
Walivyoanza kucheza dk 30 tulikuwa atujafanza shambuluzi lolote lileKwanini?
Team iko kwenye right track unless mtu afanye individual error.Walivyoanza kucheza dk 30 tulikuwa atujafanza shambuluzi lolote lile
Utoto mwingi hii team tusitegemee chochote kile kwa wachezaji hawaPogba nae kiwango kimemwaya huyu, anakimbia utadhani anadance
Awekwe bench akikua ndio apangweUtoto tu akikua atabadilika. Martial
Uono wako na wangu upo tofauti mkuu mie muumini wa soka la kushambulia sana sio kuviziaTeam iko kwenye right track unless mtu afanye individual error.
Huwezi kushambulia tu kama headless chicken, hicho unachokitaka dakika 60 ikiwa bado bila bila utakiona,though nakubali timu haijatoa perfomance ya maana.Uono wako na wangu upo tofauti mkuu mie muumini wa soka la kushambulia sana sio kuvizia