Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu Lee Cho in Nipo Kwenye Maeneo 😀 😀 😀

Kuna days Nilipost Kitu Hichi ↓↓



Nilisema Kuna Siku Nitawaambia Sababu Ya Kucheka, Kwahiyo Nilichochekea Ni Kwamba Nilipoziona Zile Comments Za Watu Kusifia Performance Ya Hali Ya Juu ya Man United walioionesha Zidi ya [HASHTAG]#YeovilTown[/HASHTAG] huku Wakisahau Kuwa Timu waliocheza nayo Ni Ya Mchangani... 😀 😀 😀

Ni kilichonifurahisha Nikuwa Niliamini Majisifu yao Hayata Last long... Na Leo Ndiyo hii washageuka!
[HASHTAG]#PlasticFans[/HASHTAG] Ni shida...

Sidhani kama hile mechi ya Yeovil Town tulicheza kwenye kiwango cha kurudhisha kwasababu kama Yeovil wangekua makini wangeondoka na magoli matatu ya wazi. Hile mechi ilikua ya kawaida kama nyingine, tulishindia uzoefu wa wachezaji tu.
Mechi ya jana Pochetino aliandaa kikosi chake kiufundi zaidi, walicheza soka la kiufundi sana kwa kuziba space ambazo Pogba, Sanchez, Lingard, Martial walitegemea kuzitumia.
Pogba alikabiwa juu sana, walitembea na Sanchez na Martial. Jana Totenham walikua kwenye ubora wao.
 
Hawana viungo wa kiwango cha dunia ni bora wangewaongeza kikosini Ndemla na Rafael daud kidogo hao wangeweza kumchallange Mousa Dembele
Mkuu mie sikutaka kejeli ndio maana nikawaita akina Kashasha.

Huu msemo wa "kiwango cha dunia" huwa unasemwa sana..

Hebu niambie nini maana ya kiungo wa kiwango cha dunia??

Pogba, Matic na Herrera hawa ni viungo wa viwango vya kuzimu?
 
Mourinho kote alipotoaka alikuta kuna wachezaji wapambanaji na yeye akawaongezea, lakini hapa Manchester amekuta wachezaji wa kawaida na kisha utoto mwingi, sasa naona ndio anguko lake limewaidia
Mchezo pekee ambao niliona MUFC ikicheza kwa kiwango cha kueleweka ni ule ilicheza na Newcastle,MUFC ikitokea nyuma na kushinda goli nne.

Zaidi ya hapo ni magumashi matupu
 
Leo kazi unayo utajibu post ngapi kama vile unashabikia timu ya maana unaweza kukuta wale hela za mafuta nununua timu ikishinda hamuonekani wakifungwa mnajidai kuijua timu na kocha wake kama mnajua mbona hamna makombe 20?
Nilivyoona tu kuwa ni wewe umeniquote,nilijua tu kuwa hakuna la maana ambalo utaongelea zaidi ya PUMBA..!
 
Where is Pogba?

ad77ffff879e0424c5707028d035580b05db4911(1).jpeg
 
Why stubborn Mourinho must scrap his 4-2-3-1 system to ensure Man Utd success
by Asif Norat3 days ago
SHARE THE LOVE
image:


COMMENT: If there is one coach who has experienced a successful managerial career by using the 4-2-3-1 formation, it's Jose Mourinho. The Portuguese tactician has deployed this setup since his days at FC Porto and although it limits his side from playing to their potential, it has not stopped the 54-year-old from winning a league title in every country he has managed in.

However, the formation has become ineffective and old fashioned as Europe's well-known clubs now use the 4-3-3 system or the back-three/five setup. Even in the Premier League, Manchester United are the only top-six outfit that still play within the 4-2-3-1 system.

As the Red Devils' style of play still remains quite predictable and frustrating to watch from time to time, it would be better late than never for the former Chelsea and Real Madrid boss to consider a change to a new formation in order to get the best out of his individuals along with making sure the side's tactical fluidity for the big games is more than balanced.

Despite having the best defence in the league alongside Antonio Conte's Chelsea, conceding only 16 goals in 24 games, United's non-penalty expected goals against their side is a figure of 28.16, proving that a lot of their defensive brilliance has come from shot-stopper David De Gea who has bailed out his team-mates on many occasions. This proves that the double pivot in the 4-2-3-1 system will more or less be overran by a three-man midfield, which is always the case for when an opposition comes to Old Trafford.

Up till now, central midfielder Paul Pogba has done well to adapt to the duty he covers in a double pivot within the middle of the park, where he has to play as a deep-lying playmaker instead of his favourite role as a box-to-box midfielder. The fact the he importantly dictates play as well as instruments the side's attack consistently as Nemanja Matic is seen as the team's destroyer in front of the defence, leaves a lot of space in the centre for the opposition's midfield to break into.

On the other hand, this situation would not have occurred if United were playing within a three-man midfield. The Frenchman is the club's most expensive signing of all time and it would be a huge shame if he is not used higher up the pitch, where the side need him the most.

Against Everton a few weeks ago, Pogba literally ran the show when Mourinho played a midfield three at Goodison Park, with Ander Herrera and Nemanja Matic playing alongside the 24-year-old.

Furthermore, a midfield of three individuals would help to distribute the defensive and attacking responsibility evenly, thus allowing the midfielders to save up some stamina.

On top of that, one of the key benefits of having three central midfielders is that there are many types of passing routines the side can create in terms of using the full size of the pitch towards the team's abilities and making the ground look small when you're aiming to retrieve possession.

With that being said, the recent arrival of Alexis Sanchez to Old Trafford should increase the chances of Mourinho utilising the 4-3-3 system, given the squad possess the ideal attackers to either be ruthless in the home games or break on the counter effectively in the fixtures away from home.

Since Pogba likes to roam forward as well as both Sanchez and Anthony Martial having the tendency to cut into the middle from the flanks, a number ten is not needed within the side's formation.

If the manager makes it happen very soon, the three-man midfield should include Pogba on the left side, Matic as the more holding player whilst either Herrera or Marouane Fellaini providing the late runs into the final third and making up the numbers in the middle of the pitch from the right area.

This would lead to unlocking the potential of Pogba, who currently has the most league assists (9) and most key passes completed per game (2.1), compared to the rest of the players at the club.

Overall, the 4-2-3-1 system was used by the likes of David Moyes and Louis Van Gaal, in the end, they left Manchester United with no success in the league or in Europe.

The situation is different with Mourinho for sure, though, as moving to the 4-3-3 setup will guarantee him and his team success in the long run.



Why stubborn Mourinho must scrap his 4-2-3-1 system to ensure Man Utd success - Tribal Football
 
Refa nae muongo tena sana mana sanchez hakupaswa kuchezewa vile japo kuwa kadi nyekundu si nzuri uwanjani.
Sio kabana red card tu. Hata ile penati.

Labda na wao wanapokea maelekezo toka juu.

Mou kazibwa mdomo....angewachana mbaya.
 
Amani hua inanitoka nikimuona smalling uwanjanii , ni mchezaji wa kucheza westbrom, sunderland na viteam vya uwezo wake lakini sio Man U, hovyo kabisaa.
Kwa phill jones ni Moja kati ya mabeki bora tulio nao Man u. Sio mtu was papara, anauwezo was kupandisha team vizuri sana kubwa zaidi ni mtu was maamuzii.
Nathubutu kusema shida tulio nayo kawasasa OT ni Kocha mweye uwezoo wa kukabiliana na mbinu za wapinzani, tofuti na mawazo ya Kujilindaa kwa 70% ni hatari sanaa
Nakibaliana ma wewe.

Simlaumu Jones hata kidogo...alikua anafanya cover up na kwa Smalling pia.
 
Sio kabana red card tu. Hata ile penati.

Labda na wao wanapokea maelekezo toka juu.

Mou kazibwa mdomo....angewachana mbaya.

Kwenye kuanza mpira walikosea, walitakiwa kuanza upya lakini refa akakausha. Kulikua na makosa mengi sana.
 
Sio kabana red card tu. Hata ile penati.

Labda na wao wanapokea maelekezo toka juu.

Mou kazibwa mdomo....angewachana mbaya.

Mumehamia Kulilia Refa? 😀 😀 😀 This is your new style!!!

Halafu unapocomplain Kuhusu Penalty usisahau Kuwa Na Man U walimuangusha Mchezaji Wa Spurs Ndani Ya Maeneo ya 18!!!!

Kwenye kuanza mpira walikosea, walitakiwa kuanza upya lakini refa akakausha. Kulikua na makosa mengi sana.

 
Nilivyoona tu kuwa ni wewe umeniquote,nilijua tu kuwa hakuna la maana ambalo utaongelea zaidi ya PUMBA..!
Ni pumba kwa wale wanaoandika pumba umekazana kusambaza uchafu mbona tukishinda husamabazi huo uchafu wewe ni haterz sio mtu wa mpira tunawanyoosha tu ila huwez kukuta nimejibu pumba kwa mtu wa mpira ukija kwa dhihaka utajibiwa vile kulingana na pumba zako.
 
Umeambiwa Madrid tatizo lake ni kiungo ?
Mchezaji mzur anaweza kuhitajika kuongeza upana wa kikosi sio lazima jahazi litoboke madrid walimsajili kiungo toka real betis kwani walikuwa na tatizo?
 
Mchezaji mzur anaweza kuhitajika kuongeza upana wa kikosi sio lazima jahazi litoboke madrid walimsajili kiungo toka real betis kwani walikuwa na tatizo?
Usipotakwa na Madrid wewe ni mchezaji mbovu ????
 
Roy Keane: “When we lost it ruined my mood for days. Current players are too busy filming themselves dancing in the dressing rooms to care about losing.”

FB_IMG_1517509876961.jpg
 
nintchdbpict000324439620.jpg

Mourinho hakupaswa kumuacha Eric dier alitakiwa kumsajili huyu kipindi wanataka paund 48 kiungo cha ukabaji na kuwalinda mabeki anavitendea haki sana pogba na matic wangekuwa huru sana.

Namkubali sana huyu jamaa.
 
Kwa njia yoyote SIKUUNGI MKONO. Timu iko vizuri na itaendelea kuwa vizuri. Timu inashiriki UEFA, Ni ya pili kwenye ligi na bado ipo FA. Mechi ya jana ifute kila kitu! HAIWEZEKANI. Michezo ya katikati ya wiki hii tumeshuhudia:-
Arsenale kapigwa Tatu na timu ya mkiani.
Chelsea Kapigwa Tatu na timu ndogo tuu
Wewe unapigwa na Spurs nyumbani kwake inakufanya umuone Mou hafai! Round ya kwanza mbona tulimchapa huyu, unataka kila siku ushinde. Mpira wa miguu ni mpira wa makosa, ukijichanganya unapigwa hata uwe mzuri vipi.
 
Back
Top Bottom