kayeke
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,601
- 1,753
Mtaniambia mkuu.Bado hayatoka...
Mtaniambia mkuu.Bado hayatoka...
Mkuu hapana..Sanchez, Lingard, Lukaku unawaona wanavyopambana, wanashuka chini kuchukua mipira. Kuna mtu yuko kule mbele kushoto kasimama tuNi timu nzima wanacheza hovyo mkuu
United Leo wapo vzr Sana,, sema game tuI blame nobody kwa lile goli la kwanza..Ila kwakweli united we deserve better than this..lets keep it up lads!!!!!!
Upinzani mkubwa wa Premier league now upo chini kule,,, Hakuna timu inayotaka kushuka darajani,,, Yale ya Jana yalotokea kwa arsenal ndo yanatokea kwa Chelsea leoBournamouth 3 vs Chels 0
Hii shida sio kwetu pekee
We acha tu ndugu yangu kuna watu wanamuona mungu mtu hapa, watakushukia kama mvua.Yesu wangu....sub gani hii?? Hivi Mourinho haoni utumbo wa martial??
Mama weee.. ..alafu jamaa baada ya Lingard na pogba kutoka wanajiachia tu.We acha tu ndugu yangu kuna watu wanamuona mungu mtu hapa, watakushukia kama mvua.
Kweli kabisa, nafasi ya 11 mpaka 20 zina chance sawa. Mwaka huu kuna ubishi mkubwa kushuka daraja.Upinzani mkubwa wa Premier league now upo chini kule,,, Hakuna timu inayotaka kushuka darajani,,, Yale ya Jana yalotokea kwa arsenal ndo yanatokea kwa Chelsea leo
Binafsi nayakubali matokeo, kukubali matokeo ni uungwana. Man City hana mpinzani mwaka huu. Vita vinabaki kuwa top four.Mwafa leo