Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huwa nikiongea hii kauli kuna wafia team humu Wananitukana siku nzima
 
Tunafukua makaburi
 
Tunafukua makaburi
Asante sana ndugu kwa kulikumbuka hili. Inaumiza mno ukiangalia Pogba ana shine sana akicheza na timu ndogo,hizi kubwa nyingi hawezi. Na ndo matatizo yanapoanzia kwa timu kwa sababu yeye ndio roho ya timu na akizingua yeye ndio chanzo cha kwanza kwa timu kufanya hovyo. Angalau Jana mtetezi wake kaliona hilo na hakutaka kulifumbia macho

Sent from my Infinix NOTE 3 Pro using JamiiForums mobile app
 
Leo nafukua makaburi ya mashabiki wa team hii wenye uwezo Mkubwa wa kufikiri
 
Niliandika hii mwaka Jana December, Ndio msimamo na maoni yangu mpaka sasa.


Nilitukanwa sana na wanaojiita "Die Hard Fans" wanaotulazimisha nyekundu tuseme ni nyeupe.

GGMU
 

Attachments

  • 1517458858820.png
    12.7 KB · Views: 37
Mkuu kwani aliyetakiwa kumsaidia Young kukaba ni Sanchez?..kwa formation ya leo sema ni nani alikuwa hashuki kukaba?
Ndio nimesema hivyo, labda wewe kama una nawazo tofauti niambie.
 
 
Leo nafukua makaburi ya mashabiki wa team hii wenye uwezo Mkubwa wa kufikiri
Salute kwako mkuu, wengne tukisema tunaambiwa ni mashabiki maandaz ndo mana tumeamua kubaki kimya, hua tunapita kuchungulia tu lkn hatutii neno maana hatumbendi malumbano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…