Al assad
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 1,404
- 1,517
Huna timu ya kunifunga wewe,kwanza UEFA kwenyewe sijui kama utafika robo fainali!Subirini tu, siku hiyo mkipaki treni L10 atalisambaratisha tunapigilia misumari kuanzia 9
Huna timu ya kunifunga wewe,kwanza UEFA kwenyewe sijui kama utafika robo fainali!Subirini tu, siku hiyo mkipaki treni L10 atalisambaratisha tunapigilia misumari kuanzia 9
Kwani Mou ndiye aliyemrudisha Valencia kucheza nyuma? Hebu mtu amueleweshe huyu...Natagemea Sanchez ku flop maana kwa formation za Mourinho lazima atambiwa akabe au atachezeshwa beki kama valenci kocha wetu ni mwehu
Madrid kafungwa 3 na toti ,sisi tulimfunga ngapi toti!?Iyo iyo iliyomtandika Madrid 3 kwa zero wewe atakufunga ngapi?
Mimi sina maneno mengi, awamu hii tukutane tuHuna timu ya kunifunga wewe,kwanza UEFA kwenyewe sijui kama utafika robo fainali!
Kwani espanyol yupo daraja gani na Bristol yupo daraja gani?Bristol city kamfunga man barcelona kafungwa na espanyol lakin man hawez kumfunga barca kwa kuwa kafungwa na bristol city akili zako zipo timamu? Hilo nalo swali kama espanyol anamfunga barca why united ashindwe?
Na nyie mlifungwa ngapi na Madrid?Madrid kafungwa 3 na toti ,sisi tulimfunga ngapi toti!?
Haterz hao mkuu watasumbua sana kama wanavyohangaikaga kummaliza pogba saiv wapo kwa sanchezKwani Mou ndiye aliyemrudisha Valencia kucheza nyuma? Hebu mtu amueleweshe huyu...
Kumbe hujui mpira, una ushabiki wa kijinga kwaheri!!Subiri kipigo toka kwa sevilla
Celta vigo na espanyol nani mzur?Kwani espanyol yupo daraja gani na Bristol yupo daraja gani?
Au unafikiri utamuwezs espanyol wewe?
Kwani barcelona haifungwi wewe kavu?Sasa mbona mourinho akifungwa huwa mnalalamika?
Unaandaa team ili ufungwe au ushinde?
Hivi nyie wakwepa kodi wa katalunya humu mnafuata nini?United nyie ni vibaraka wa Madrid waume zenu ndio maana tuliwafunza adabu UEFA final 2009, 2011
Mwaka 2011 Pete ya babu ikapotea na kona hamkupiga hata 1
Poa wahi ukalale na mmeoKumbe hujui mpira, una ushabiki wa kijinga kwaheri!!
MilembePointless hii kabisa
This is active madness
Aspenyol na baca nani mkubwa?
Jibu swali acha taarabuBarca angemfunga sasa espanyol kwa ulinganifu wenu mfu mpira mmeanza juzi nyie hamna lolote na tunategemea floo yenu hapa kwa hasira za sanchez
Inafungwa lakini sio na man u maana last competition game walipokutana man hakupiga hata corner 1Kwani barcelona haifungwi wewe kavu?
Safar hii utajinyea kama hujatafuta timu ya kushangilia utajuta mourinho hadi 2021Milembe
Nshakupa limoja mi sijibu vichaa nikijibu moja linatoshaJibu swali acha taarabu
Hahahaha hili swali akilijibu unitagSasa mbona mourinho akifungwa huwa mnalalamika?
Unaandaa team ili ufungwe au ushinde?