radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
2008 alitolewa na nani nusu fainali ya uefa?Inafungwa lakini sio na man u maana last competition game walipokutana man hakupiga hata corner 1
2008 alitolewa na nani nusu fainali ya uefa?Inafungwa lakini sio na man u maana last competition game walipokutana man hakupiga hata corner 1
Umeelewa nilichoandika?2008 alitolewa na nani nusu fainali ya uefa?
Na nyie mlifungwa ngapi na Madrid?
jamaa maswali yako ysnahitaji tuzo ya Amani ya NobelHawa madogo nimegundua ni mashabiki maandazi![]()
jamaa maswali yako ysnahitaji tuzo ya Amani ya Nobel
Wewe dawa imeshakuingia kaa pembeni na ukome kuita wakubwa zako kuwa ni wakwepa kodiKijana jiheshimu sana una safari ndefu kimaisha matusi na dharau havitokusaidia tafadhali lakini
Tumia lugha nzuri tafadhali tena!
Kichaaa kama wewe sihitaj kusoma nikuandika tu mtu mwenyewe wa 2008 angekuwa ni chelsea,liverpool au arsenal mjadala unaenda kikubwa sasa wewe hata level ya everton hujafikaUmeelewa nilichoandika?
Umejibu au umeanzisha mada nyingine?
Na wewe mbona ulijiunga kwa espanyol au huna kumbukumbu?Utaruka ruka tu mara sevila mara baca mara bilbao wote wameungana kwa ajili ya giant
Kama huyo akiekalili maneno ya kiingereza ya " active madness ndio meeupeeee kichwaniHawa madogo nimegundua ni mashabiki maandazi
Lakini mimi ni bora kuliko wewe kwa sasa ndiyo maana nimekupasua OTKichaaa kama wewe sihitaj kusoma nikuandika tu mtu mwenyewe wa 2008 angekuwa ni chelsea,liverpool au arsenal mjadala unaenda kikubwa sasa wewe hata level ya everton hujafika
Hajitambui ukimzidi hoja anaanza taarabuKama huyo akiekalili maneno ya kiingereza ya " active madness ndio meeupeeee kichwani
Kijana heshima ni kitu cha bure matusi na kebehi sio mtajiWewe dawa imeshakuingia kaa pembeni na ukome kuita wakubwa zako kuwa ni wakwepa kodi
Poa pia na wewe kijana jifunze kuwa na koromeo ukiona watu wanaongea usipende kuingilia maasada maana utaishia kupanicKijana heshima ni kitu cha bure matusi na kebehi sio mtaji
Jifunze kuheshimu watu usiowafahamu ushauri wa bure tu huu
Manure inasajili vibabu, bure kabisa. Ngoja mkikutana na wanaume.
Kujibishana na wewe ni kulichafua jukwaa tu hapa mahali patakatifu.Sawa mama watoto wangu![]()