Rich Forever
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 467
- 469
Lugha za matusi na kukashifiana watu hatujuani sio mahala pake hapa. Tuwe na busara hata kidogo.
Ikitokea mmeshindwana kwa hoja, tukubali kutokubaliana. Kukaa kimya nalo ni jibu.
Welcome Alexis Sanchez @ OT.
GGMU..
Michael Owen kasahaulika hapo. Babu Fargie aliamua kuwaudhi tu watani wa hadi.
Hahahahahha nafikir walioitendea haki 7 mkuuMichael Owen kasahaulika hapo. Babu Fargie aliamua kuwaudhi tu watani wa hadi.
Natumai amesharipotiwa na kuchukuliwa hatua aisee.Tuwapuuze hata kama atajibu post yako mpuuze
Hahhahaha mkuu hao wawili ngumu sana mkuu tumehangaika mno mkuu..watan zangu chelsea misimu 6 au 7 mnatimu ya uhakika tuhurumieni tunaanza kujijenga mkuuNatumai amesharipotiwa na kuchukuliwa hatua aisee.
Siungi mkono lugha za maudhi na matusi kwenye jukwaa hili aisee.
By the way, nimepita tu kuwapa hongera kwa usajili wenu. Natamani mtuuzie (Chelsea) Martial ama Mata..ila poa tu nadhani tunakutana nanyi mwezi ujao.
Sasa mtawatumiaje hao wote. Nashangaa sana Chelsea wanaenda kutafuta wachezaji mbaliii wakati hapo kwenu wapo wa kunyongaHahhahaha mkuu hao wawili ngumu sana mkuu tumehangaika mno mkuu..watan zangu chelsea misimu 6 au 7 mnatimu ya uhakika tuhurumieni tunaanza kujijenga mkuu
Matus mabaya sana mkuu tutaniane tu ki spot.
Martial tena mtani wamgu mentor??? Aaa ngumuNatumai amesharipotiwa na kuchukuliwa hatua aisee.
Siungi mkono lugha za maudhi na matusi kwenye jukwaa hili aisee.
By the way, nimepita tu kuwapa hongera kwa usajili wenu. Natamani mtuuzie (Chelsea) Martial ama Mata..ila poa tu nadhani tunakutana nanyi mwezi ujao.
Kwamba leo Martial amekuwa wa muhimu? Sasa Martial, Mata, Rashford, Lukaku, Sanchez, Ibra, Lingard...kwani mnacheza ligi ngapi wenzetu!??Martial tena mtani wamgu mentor??? Aaa ngumu
Liverpool karudia ugonjwa wake
Hahshahs tunahitaj kuwa na kikos kipana martial kaanza kuiva rashford anahitaj kupumzika katumika sana ka umr kadogo mkuu ibra hana nafas tenaKwamba leo Martial amekuwa wa muhimu? Sasa Martial, Mata, Rashford, Lukaku, Sanchez, Ibra, Lingard...kwani mnacheza ligi ngapi wenzetu!??
Hiyo mechi banaFULL-TIME
Swansea 1-0 Liverpool
Vijogoo wa armfield hao. Mshika mkia kajipatia point 3. Wiki iliyopita wamempiga kinara Leo wamepondwa na mburuza mkia.
Wee MartialNatumai amesharipotiwa na kuchukuliwa hatua aisee.
Siungi mkono lugha za maudhi na matusi kwenye jukwaa hili aisee.
By the way, nimepita tu kuwapa hongera kwa usajili wenu. Natamani mtuuzie (Chelsea) Martial ama Mata..ila poa tu nadhani tunakutana nanyi mwezi ujao.
mkae mbaliHadi mzee kaenda kumpokea daa jamaa anapendwa sana huyu alikuwa anahitajika mkongwe wetu alikuwa anaona umuhimu wa sanchez.