Karibu OT AlexisBEAST.
Namba 7 , ni namba takatifu pale OT. Namba inayovaliwa na very special playerHii namba aliyopewa Sanchez inawaleteaga sana gundu.. Sijui ni nzito?
Huna ubavu huo, kama unabisha tutakutana utaomba poo!Mimi barca original natamani sana nikutane na hili genge la wahuni uefa, nivuruge hata goli tisa, L10 manne, suarez 3, Dembele 1, Umtiti 1.
Kwa barcelona ipi, hii ya sasa hv? Usidanganye!!Mimi barca original natamani sana nikutane na hili genge la wahuni uefa, nivuruge hata goli tisa, L10 manne, suarez 3, Dembele 1, Umtiti 1.
Mimi barca original natamani sana nikutane na hili genge la wahuni uefa, nivuruge hata goli tisa, L10 manne, suarez 3, Dembele 1, Umtiti 1.
Subirini tu, siku hiyo mkipaki treni L10 atalisambaratisha tunapigilia misumari kuanzia 9Kwa barcelona ipi, hii ya sasa hv? Usidanganye!!
Mzur akitokea pembeni japo hata striker anacheza ila mchango wake ni mdogo tofaut na anapotokea pemben huwa mkali sanaAlexis ni winger au striker ?
Au anamudu vyote
Kwani wewe carabao cup bado umo?View attachment 682523
Wabeba matokeo mfukon utawajua we taja taja hayo majina mpira uwanjani naona genge la wahuni wa espanyol mliwavuruga
Iyo iyo iliyomtandika Madrid 3 kwa zero wewe atakufunga ngapi?Kwa barcelona ipi, hii ya sasa hv? Usidanganye!!