Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Natagemea Sanchez ku flop maana kwa formation za Mourinho lazima atambiwa akabe au atachezeshwa beki kama valenci kocha wetu ni mwehu
Sawa ata flop, kwahiyo tukusaidieje?
Natagemea Sanchez ku flop maana kwa formation za Mourinho lazima atambiwa akabe au atachezeshwa beki kama valenci kocha wetu ni mwehu
Mbona huwataji hawa
Mick, De Bruyne, Mo salah
Tukusaidieje hii kauli una muwakilisha nani unamsemea nani?Sawa ata flop, kwahiyo tukusaidieje?
AsanteUtakua na matatizo ya akili.
wamejipa mamlaka ya kusimamia humu kama admins wa magroup ya WhatsApp, hawataki michango hasi .Tukusaidieje hii kauli una muwakilisha nani unamsemea nani au una Mme?
Hivi wewe unajua kusoma na kuelewa ?? Wapi nimesema hao wachezaji hawakupewa Nafasi ... Jamaa kasema mbinu za mourinho zinaweza kufanya sanzez akaflop wewe unaleta shombo zako za kupewa Nafasi, you're talking insanely.Hao waliflop ? Micky,Debrune hawakupewa nafasi? Na chelsea ya kipindi hicho ulitaka hao wamuweke nani benchi?Au ukitaka wacheze 14 uwanjani?
Mbinu za Mournho zipi? Nmeelezea jinsi mou anavyosuka kikosi chake na kuacha baadh ya players kwenye free role ambayo ndo Sanches huwa anaperfom akipewa uo uhuru kama alivyokuwa udenese au Chile. Nikatoa mifano na wachezaji walionufaika na hilo mfano CR7 na Hazard lakini bado kwakuwa unataka kuonekana kuwa humpendi Mou ukantolea mifano mfu ili usimamie point yako eti de brune na salah seriously hawa hawakushindwa mbinu za Mou chelsea ilikuwa na ushindani katika kikosi chao na wakashindwa kuthrive.Hivi wewe unajua kusoma na kuelewa ?? Wapi nimesema hao wachezaji hawakupewa Nafasi ... Jamaa kasema mbinu za mourinho zinaweza kufanya sanzez akaflop wewe unaleta shombo zako za kupewa Nafasi, you're talking insanely.
Elewa Logic za anachoongea mtu
mkuu,umeoa?hivi mkeo kila mara wakati wote akiwa anaongea udhaifu wako tu utakuwa unamfurahia???yaani mke haongei mazuri kabisa kuhusu wewe mumewake utamfurahia huyo mkeo??unadhani hapo shida itakuwa kuongea udhaifu ama kutokuona mazuri nayo akayaongelea??yaani yeye udhaifu tuuuuuuu utamfurahia huyo Mkeo??Mkuu kuna watu humu kauli kama hizi hawataki kuzisikia...
Wiki mbili zilizopita mtu angekuja kuniambia sanchez atatua OT ningeweza kumtupia hata jiwe usoni, maana ningeona ananikebehi,
wallah hata mimi sijawahi kuwaza asee dah ukipata watu kama wenger watatu safi sana.Acha auseme tu udhaifumkuu,umeoa?hivi mkeo kila mara wakati wote akiwa anaongea udhaifu wako tu utakuwa unamfurahia???yaani mke haongei mazuri kabisa kuhusu wewe mumewake utamfurahia huyo mkeo??unadhani hapo shida itakuwa kuongea udhaifu ama kutokuona mazuri nayo akayaongelea??yaani yeye udhaifu tuuuuuuu utamfurahia huyo Mkeo??
jibu swali,utamfurahia huyo mke???Acha auseme tu udhaifu
Fax machine itahusika tenaManchester United watakuwa na wasiwasi baada ya kipa wa Athletic Bilbao Kepa Arrizabalaga kukataa nafasi ya kujiunga na Real Madrid, na hivyo huenda Real wakarejea kutaka kumsajili David de Gea, 27. (Mirror)
Na Yaya toure aliflop kule Barca na Sasa tena huku Man City.Sanchez,Etoo,Zlatan waliflop kwa nani?
Hahahha ila mourinho ndo anaonekana kwa uraisi sana hawa jamaa wanatia huruma mno yaya tuore kaja epl 2011 kawa kiungo bora mfululizo miaka kama mi 3Na Yaya toure aliflop kule Barca na Sasa tena huku Man City.