Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Both Henrikh Mkhitaryan and Alexis Sanchez are in Liverpool at an immigration office to sort out their work permits. [Daily Mail] Transfer Related on Twitter
0a5c33a5a61fd6b62f6637d2d0460277.jpg
5dbcd4f2b14114a3baacd3fb0e96da73.jpg
 
mkuu,umeoa?hivi mkeo kila mara wakati wote akiwa anaongea udhaifu wako tu utakuwa unamfurahia???yaani mke haongei mazuri kabisa kuhusu wewe mumewake utamfurahia huyo mkeo??unadhani hapo shida itakuwa kuongea udhaifu ama kutokuona mazuri nayo akayaongelea??yaani yeye udhaifu tuuuuuuu utamfurahia huyo Mkeo??
Jahaz modern taarab
 
IMG_20180122_165809.jpg
United are investigating their security staff after this picture was leaked from the clubs CCTV footage. [@TuftyMUFC]
 
View attachment 682312 United are investigating their security staff after this picture was leaked from the clubs CCTV footage. [@TuftyMUFC]
inavyoonekana kama jamaa wamepiga picha tv, yaani zile tv/monitor ambazo zinaonyesha matukio ya cctv. hilo neno osd tu hapo juu na quality inaonyesha hivyo.

so ni rahisi kumjua mchawi nani, waliokuwa chumba cha cctv wakati huo watatajana tu.
 
inavyoonekana kama jamaa wamepiga picha tv, yaani zile tv/monitor ambazo zinaonyesha matukio ya cctv. hilo neno osd tu hapo juu na quality inaonyesha hivyo.

so ni rahisi kumjua mchawi nani, waliokuwa chumba cha cctv wakati huo watatajana tu.
Sio mara ya kwanza kwa staff wa Manchester kuvujisha siri, pogba na de gea picha zao zilisambaa hata kabla ya official announcement.

Pogba kuna picha alipiga na akina mama watatu akiwa amevaa jezi ile nyeusi, de gea alipiga akiwa na wakala wake pamoja na wana sheria wa timu wakiingia kwenye hotel.
 
Sanchez akiwa ameuteka huu uzi kwa sasa, tujipumzishe na habari nyingine.

Aston Villa are hoping to push through a loan deal for Axel Tuanzebe this week. [telegraph]
 
Sanchez: “The chance to play in this historic stadium & to work with Jose Mourinho was something I could not turn down. I am very proud to be the first Chilean player ever to play for United’s first team.”
 
Back
Top Bottom