Wachezaji wa Man City hawakosi magoli kama wa United tatizo humpendi Mourinho so kila kitu unamlaumu yeye game against Leicester,Stoke,Burnley timu ingeweza kushinda magoli 5 but wachezaji wamekosa magoli ya wazi still unamlaumu kochaTimu bora na ambayo imejiandaa kutwaa makombe bila porojo ni ile ambayo kila mchezaji ana magoli.
Kwanza Mfumo wa mourinho haumfanyi namba 9 kutengenezewa Nafasi nyingi lakini pia hauifanyi team kutengeneza Nafasi nyingi kitimu. Ndio maana Nafasi chache zinazotengenezwa sio specifically kwa striker. Hapo ndio tunaanza kusema huyu mchoyo Kwanini hakumpa pasi flani.
Kiufupi ni Nafasi ambazo ni unexpected.
Lukaku ni one of the Best and Beast striker in EPL ila chini ya mourinho anastrugle kwa sababu hakuna "expected chances" anazotengenezewa. Kuweka Mpira nyavuni ni mbinu za mchezaji ila mchezaji kuupata npira ili auweke nyavuni hizo ni mbinu za mwalimu.
Primary duties za namba Tisa duniani kote na sayari zote ni kufunga magoli assists ni Kaz ya ziada. Mbinu butu za mourinho Lukaku anatoa assists nyingi kuliko Nafasi anazotengenezewa afunge. Its simple logic; Striker Wetu hatengenezewi Nafasi akiwa kwenye Nafasi sahihi za kufunga ndio maana hawezi kufunga anaishia kutoa pasi wengine wafunge.
Sioni mchezaji mbinafsi pale Manchester united. Ni jambo la faraja wachezaji wengine wanapofunga striker anapokuwa kwenye ukame wa magoli.
Angalieni goal distribution kwenye kikosi cha Manchester city kwa kila mchezaji.
View attachment 681091View attachment 681092View attachment 681093
Sasa hii distribution haiji from the sky hizi ni mbinu za coach. Wachezaji ni kutekeleza tu.
Kwa mbinu hizo una amini Manchester united itachukua ubingwa msimu huu ?????
Nakuahidi Manchester united ikitwaa ubingwa msimu huu wa kikombe chochote najitoa jf.... Kwa mbinu za mourinho we can't battle with Tactics Guru teams .
Umeitaja Leicester, Stoke, BurnleyWachezaji wa Man City hawakosi magoli kama wa United tatizo humpendi Mourinho so kila kitu unamlaumu yeye game against Leicester,Stoke,Burnley timu ingeweza kushinda magoli 5 but wachezaji wamekosa magoli ya wazi still unamlaumu kocha
Akiwa Chelsea Terry,Cahill,Ivanovic,Azpi (mabeki) walikuwa wanafunga magoli mengi
Ndio maana nasema mbinu zake ni too outdated, hazina maana kwa soka la kisasaJitoe kwani una jambo la maana unalofanya uku JF? Wote uliowataja hapo sidhani kama kuna mmoja anaemkuta Mourinho kwa mafanikio zaidi ya Guardiola. Mbinu zake ndio zinazompa mafanikio na uwezi kumlazimisha timu yake icheze kama timu ya Guardiola au Klopp.
Kila mmoja ana mbinu zake na hizo mbinu ndio zilizowapa mafanikio.
Ukiona kocha kakaa miaka miwili hajachukua kombe lolote, jua mbinu zake hazifai na ni msindikizaji tu.
Tushampungumzia pressure arsenal tumempigia mpinzani wake watakuja hapa hawana shukrani hawa japo jana tumewaonyesha kuwapenda na kuwajali.
Ndio maana nasema mbinu zake ni too outdated, hazina maana kwa soka la kisasa
Manchester united ni zaidi ya makombe . Van Gal aliondoka katupa kikombe pia. Kama hujui kilichomuondoa sina haja ya kubishana na weweJitoe kwani una jambo la maana unalofanya uku JF? Wote uliowataja hapo sidhani kama kuna mmoja anaemkuta Mourinho kwa mafanikio zaidi ya Guardiola. Mbinu zake ndio zinazompa mafanikio na uwezi kumlazimisha timu yake icheze kama timu ya Guardiola au Klopp.
Kila mmoja ana mbinu zake na hizo mbinu ndio zilizowapa mafanikio.
Ukiona kocha kakaa miaka miwili hajachukua kombe lolote, jua mbinu zake hazifai na ni msindikizaji tu.
MysteriousUmejuaje kama ni outdated? Au ni mawazo yanavyokutuma? Chuki yako juu ya Mourinho haiwezi kubadili mbinu zake, yuko pale Man United kuleta mafanikio na kuirudisha timu sehemu yake. Wakiona kashindwa atatimuliwa kama wengine.
Wewe kukaa hapo kwako/kwenu na kuandika uku JF eti mbinu za Mourinho ni outdated lazima tukushangae.
Huwa nashangaa sana logic zakoUmeitaja Leicester, Stoke, Burnley
Vipi kiwango chetu dhidi ya Liverpool, Chelsea au Manchester city????? Huwa tunatengeneza Nafasi na kukosa magoli ???
Huwezi kuwa bingwa kwa kushinda dhidi ya stoke ,Burnley na Leicester ( japo hatukushinda zote)
Simchukii mourinho ila kimbinu ni Mwalimu mweupe saaaaaana. Hata alipokuwa Madrid kimbinu alikuwa mweupe dhidi ya Guardiola.
Manchester united ni zaidi ya makombe . Van Gal aliondoka katupa kikombe pia. Kama hujui kilichomuondoa sina haja ya kubishana na wewe
Kuna team zipo zaidi ya vikombe. Anchelot alifukuzwa Bayern kawapa ubingwa. Tinka Man alifukuzwa Leicester city kawapa ubingwa wa EPL
Changanua hayo maelezo hapo Juu
Mysterious
Martial alifanyiwa sub we, martial Ni mchezaji bora tatizo yupo na kocha mbovuJamani Martial yupo ndani maana toka afunge goli sijamuona kabisa [emoji32]
Huyo rasford asipoangalia ataishia kama kina welbeckRashford is on hell of a selfish player.
Pogba was also selfish today.
Martial and Lukaku are the most understanding players we have.
ThankGod we won.
Mkuu Bora uongeee wewe kuna watu humu ukisema mourinho ni mbovu wanaweza kukutoa rohoMartial alifanyiwa sub we, martial Ni mchezaji bora tatizo yupo na kocha mbovu
You nailed nothing.Huwa nashangaa sana logic zako
Last season Liverpool alizifunga karibia timu zote big 6 lakini alishika nafasi ya 4 ,LVG aliwafunga Liverpool mechi zote kwenye EPL you know what happens. Ukimfunga Liverpool unapata point 3 the same ukimfunga Stoke unapata point hizohizo 3
Last season United alitoa droo game karibia 15 against hizo team ndogo timu ilipoteza almost point 30 against hizo timu vibonde
Kuna watu wana washwawashwa na hili jukwaa la Man Utd, nendeni kwenye majukwaa yenu huko ya Arsenane, Chelshit na losserpool
Unapoteza muda wako mwingi kwa kubiashana na huyo mtu?bodi ya manchester imelizika na morinho na soon atapewa mkataba mpya.Huyo atakuchosha tu hoja zake hazna maanaWachezaji wa Man City hawakosi magoli kama wa United tatizo humpendi Mourinho so kila kitu unamlaumu yeye game against Leicester,Stoke,Burnley timu ingeweza kushinda magoli 5 but wachezaji wamekosa magoli ya wazi still unamlaumu kocha
Akiwa Chelsea Terry,Cahill,Ivanovic,Azpi (mabeki) walikuwa wanafunga magoli mengi
How many chances Lukaku alikosa magoli kwenye mechi 10 za kwanza ?
Na unapomponda Mourinho fanya comparison alivyoikuta timu na ilivyo sasa check statistics (chance created,goal scored,goal conceded,position)
Arsenal hawapati chochote kwenye hili dealManchester United will pay Arsenal £20m for Alexis Sánchez and £15m to his agent. The player will earn £350,000-a-week + £100,000-a-week image rights. He'll also receive a £7.5m signing on fee. (Source: Daily Mail)