Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu nimeweka listi hapo juu..naomba ujitoe mapema2..
Anyway sitegemei usumbufu tena kutoka kwako coz nadhani utakuwa ushajitoa..
We jamaa chenga sana... kweli sitakujibu tena,iyo link na huo uchafu ulioweka kwanza hiyo link yako sio credible , second ulivouweka tu Emirates juu ya Catalonia,juu ya Bernabeu juu ya ,Cardiff City,juu ya Arianz Arena,nk
nkajua tu unakula matango pori

Sasa acha nikufafanulie ulichokipost hapo ambacho ata ww uliepost hukijui au unajitoa akili tu
Hiyo ni Viwanja vinavyowabamiza mashabiki mpunga mrefu kwenye tiketi na revenues zinavyo generate....
That's why Ndugu zako wanataka Mugabe Wenger asepe coz wanapigwa sana kwenye tiketi (ghali/expensive sana kuona Arsenal game) while timu kichefu chefu.
Anyway next time ujisome somee eeh.
Alafu tutakumiss kutuchekesha chekesha
 
Man united iko nafasi ya pili. Aseno iko nafasi ya ngapi?

Usije kuta unajipendekeza humu alafu hujui kitimu chako kiko nafasi ya ngapi...
Sasa Kama mko hiyo nafasi ndo mnalialia mnataka kombe??
Kama man u akibeba kombe bac na Chelsea,liva,toti,asenali wote tutakuwa mabingwa hivyo kombe litagawanywa Mara tano pamoja na medals pamoja na pesa ya ubingwa...
Uefa tutashiriki sote watano kama timu moja,mancity peke yake,na timu mbili zilizobaki tutazichukua kutoka kwa kina Burnley na Everton..na kama aseno akichukua uropa,tutaongeza timu moja ka soton hao uefa na pesa ya aseno ya uropa tutaigawana wote watano na kombe tutaligawana na medali tutagawana medali moja watu watano....
Kwa hiyo uefa zitaenda timu nane uropa 2 jumla kumi....
Hiyo itatokea iwapo manure atabeba ubingwa...
 
Hata sijaelewa umeandika nini. Rudi shule huu ni uzi wa watu wazima na akili zao.
 
Najua umeelewa usijifanye zuzu.....
Piga ua hambebi kombe lolote this season... Mngekuweko carabao ningesema sawa....
JM analeta wachezaji wakubwa ili auze jezi zao...
 
We jamaa chenga sana... kweli sitakujibu tena,iyo link na huo uchafu ulioweka kwanza hiyo link yako sio credible , second ulivouweka tu Emirates juu ya Catalonia,juu ya Bernabeu juu ya ,Cardiff City,juu ya Arianz Arena,nk
nkajua tu unakula matango pori

Sasa acha nikufafanulie ulichokipost hapo ambacho ata ww uliepost hukijui au unajitoa akili tu
Hiyo ni Viwanja vinavyowabamiza mashabiki mpunga mrefu kwenye tiketi na revenues zinavyo generate....
That's why Ndugu zako wanataka Mugabe Wenger asepe coz wanapigwa sana kwenye tiketi (ghali/expensive sana kuona Arsenal game) while timu kichefu chefu.
Anyway next time ujisome somee eeh.
Alafu tutakumiss kutuchekesha chekesha

Nlitaka kumfafanulia ndugu yangu roberto kama kiwanja chao kina mauzo ya juu ipande wa viingilio
 
We jamaa chenga sana... kweli sitakujibu tena,iyo link na huo uchafu ulioweka kwanza hiyo link yako sio credible , second ulivouweka tu Emirates juu ya Catalonia,juu ya Bernabeu juu ya ,Cardiff City,juu ya Arianz Arena,nk
nkajua tu unakula matango pori

Sasa acha nikufafanulie ulichokipost hapo ambacho ata ww uliepost hukijui au unajitoa akili tu
Hiyo ni Viwanja vinavyowabamiza mashabiki mpunga mrefu kwenye tiketi na revenues zinavyo generate....
That's why Ndugu zako wanataka Mugabe Wenger asepe coz wanapigwa sana kwenye tiketi (ghali/expensive sana kuona Arsenal game) while timu kichefu chefu.
Anyway next time ujisome somee eeh.
Alafu tutakumiss kutuchekesha chekesha
Hizo hela hapo pembeni zimewekwa za nn ww....
Au kiingilio cha emirates siku hizi ni £500+millions....
Kiingilo cha white hart lane ni kikubwa kuliko cha camp nou na bernabeu are you crazy????
Kuna maelezo hapo chini kabisa bAAda ya namba 20 yamewekwa,yasome kwa makini...

Asee nyie majamaa kwa kukwepesha mambo,mmmmhhhh!!!! Nimewaogopa aisee...ili mradi tu msishindwe..hhhhhh
 
FB_IMG_1516128822193.jpg
 
Back
Top Bottom