Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Thank you Manchester United mmeifanya siku yangu kuwa mwaaaaa!!! Happy birthday to me.
7e3fe7fe0fa79591b33866bcc27c7783.jpg

Happy birthday to you my love....

Zawadi yako hii hiyo picha ya Lukaku
 
Ya liver hyo
Hio haina tofauti yoyote na ya Arsenal. Shots nyingi harmless ila ukisoma hio chat unaweza kudhani kuna cha maana sana.
Mtu anaweza kuwa na shots on target 10 lakini ni zile tunaita routine saves....mwingine ana shot on target tatu mbili goal kwasababu zote ni matikeo ya clear cut chances rather than hopeful shots.
 
Hivi kweli kipa anaokoa magoli ya wazi 7, 8, hadi 10 halafu unaishia kusema hii haimaanishi tuna beki mbovu bali tuna kipa mzuri! Hainiingii akilini.
 
Back
Top Bottom