Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

↑↑

Bado ni TETESI tu haijathibitika ila ipo possibility Kubwa tu Kwa SanchezSanchez kuja Man U.

Ugumu ni kwamba ktk hili dili linamhusisha mkhitaryan sasa ili sanchez aje lazima mkhi akaubali na kula arsenal mshahara kikwako kwa mkhi

ila sijui kwa nn wanafanya dili hiyo wakat sanchez alipaswa kulipiwa pesa tu wakikataa wamuache hasara ya arsenal msumu ujao bado atakuwepo england haina maana wamuache kisha wazid ujanja
 
Masikini hawezi daiwa, hakopesheki, atadaiwa vipi? Kukopesheka ni sifa na uwezo wa kulipa, anao tajiri. Sifa ya kukopesheka masikini hana. Kama Arsenal
Nikuletee listi ya top ten richest clubs we zwazwa...
 
Hajui kitu uyo,OT ngome ilijengwa kabla ya Vita ya Dunia,ikapigwa mabomu ,ikajengwa Tena baada ya Vita...
Emirates ndo ilijengwa kwa udhamini wa Emirates..
Aache kufananisha Ngome Old Trafford na vitu vya kijinga
Unaijua thamani ya Emirates na thamani ya OT ww???
 
mkuu [HASHTAG]#ROBERTO[/HASHTAG] 20 mimi ni fan wako,napenda sana comments zako....huwa nikijisikia kuangalia cartoon ktk tv kwa vile umri umeenda sana naona aibu kuangalia katuni badala yake nafungua huu uzi wetu wa Man Utd nazitafuta nakusoma comments zako!!!
Daah!!! SawA bhana....
 
Mmm nna wasiwasi na uelewa wako wa ushabik wa mpira hivi ni kosa kufananisha wachezaj?

Tangu lini chicharito akafaanishwa na henry au unatunga habar kwa kuwa muda wote unapanic?

Chicharito alikuwa anafananishwa na Ole Gunnar Solskjær
basi kwa kuwa alikuwa anatokea banch analeta tofaut wala hakunaga cha hizo tuzo
Mkuu acha kupoteza muda wako kumuelewesha asiyetaka kuelewa.

Akipuuzwa atajipuuza.
 
mkuu [HASHTAG]#ROBERTO[/HASHTAG] 20 mimi ni fan wako,napenda sana comments zako....huwa nikijisikia kuangalia cartoon ktk tv kwa vile umri umeenda sana naona aibu kuangalia katuni badala yake nafungua huu uzi wetu wa Man Utd nazitafuta nakusoma comments zako!!!
Duu😀
 
Screenshot_2018-01-16-18-02-35.png
Screenshot_2018-01-16-18-02-48.png
Screenshot_2018-01-16-18-03-00.png
 
KUNA WATU SIONGEI NAO,SIJAWATAJA POPOTE,SIJAWAQOUTE,SIWAJUI,HAWANIJUI,NAONGEA NA MTU MWINGINE WANANIPARUKIA KAMA NIMEONGEA NA WAO VILE..
SASA NGOJA..
 
It seems ni swap deal
Wanapishana Sanchez Anakuja OT
Mikhitaryan anaenda Emirates
Hakuna anaelipa pesa...
Mikhitaryan nae yupo confused hajaamua kuikubali Arsenal bado..
 
Unaijua thamani ya Emirates na thamani ya OT ww???
Usinisumbue Google apo viwanja vikubwa na expensive Europe ukiikuta hiyo Emirates yako ipo juu ya OT najitoa JF.
Anyway ungepita kushoto tu hili jukwaa halikuhusu,hamna jukwaa la timu yako?au halinogi?
 
Mkuu nimeweka listi hapo juu..naomba ujitoe mapema2..
Anyway sitegemei usumbufu tena kutoka kwako coz nadhani utakuwa ushajitoa..
 
Back
Top Bottom