Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Daah sijapenda mikh aondoke united
Itabid united watoe pesa zaidi ila mkhitaryan ataoza bench mana calabao cup tushatolewaMwamuzi Wa Mwisho Wa Hii Deal ni Henrikh Mkhitaryan kukubali Kwenda Arsenal...
Lakini Mpaka sasa Ameshindwa Kukubaliana Personal Terms na Arsenal....
Kwahiyo Arsenal Wasipokubaliana [HASHTAG]#Salary[/HASHTAG] anayotaka basi Deal haitotiki na Chelsea huenda Wakafaidika Wao.
We jamaa una obsession sana na Man utd.Hii timu naionaga hata ikisajili nani inabakigi vilevile tu ka ilivyoachwa...
Kvp...We jamaa una obsession sana na Man utd.