Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mchezaji huwa offside kipindi gani na kipi hupelekea kuwa offside?
Anakuwa offside akipewa mpira halafu amewazidi mabeki...
Sawa inaweza kuwa error tu kwenye mchezo hasa timu inapoattack sana...ila hii ya chicharito ni too much...
Nakumbuka siku moja mechi ya Mexico na USA , Dos Santos alimpigia Hernandez pasi,ile kuipokea alikuwa offside mpaka nyuma ya kipa...
Asee nilicheka kidogo nizimie
 
Hilo ndio jibu sahihi mengine hayana mantik na uharaka wa mchezaji kujiweka nafas ya kufunga
 
Hilo hapo jamaa kishakujibu

Hili hujajibu kwa nini?
Masikini hawezi daiwa, hakopesheki, atadaiwa vipi? Kukopesheka ni sifa na uwezo wa kulipa, anao tajiri. Sifa ya kukopesheka masikini hana. Kama Arsenal
 
Hilo hapo jamaa kishakujibu

Hili hujajibu kwa nini?
Jibu la jamaa gani huyo,?? Sijaliona mm.
Mlikopa mkajenga OT..
Arsenal haidaiwi kwa sababu haikopi..

Simu yangu imeisha chaji..
Umeme imekatika...
 
Jibu la jamaa gani huyo,?? Sijaliona mm.
Mlikopa mkajenga OT..
Arsenal haidaiwi kwa sababu haikopi..

Simu yangu imeisha chaji..
Umeme imekatika...

Old trafford imejengwa kwa pesa za mkopo? Utachekwa wewe
 
1- Sanchez anaenda Manchester United
2- Aubameyang anaenda Arsenal
3- Mkhitaryan anaenda Borussia Dortmund
swali je ni team gani itakuwa imefaidika?
 
Kuna vimtu vinashangiliaaa!!! Kana kwamba mwisho wa msimu vitaibuka na taji lolote...

mkuu [HASHTAG]#ROBERTO[/HASHTAG] 20 mimi ni fan wako,napenda sana comments zako....huwa nikijisikia kuangalia cartoon ktk tv kwa vile umri umeenda sana naona aibu kuangalia katuni badala yake nafungua huu uzi wetu wa Man Utd nazitafuta nakusoma comments zako!!!
 
Back
Top Bottom