Bado tu hamumkubali Lingard?
Bado tu hamumkubali Lingard?
We jamaa... Mbona unataka kunipa kesilukaku scores
Lukaku one goal,one assist in 45minsWe jamaa... Mbona unataka kunipa kesi
And you call yourself a Man United supporter!!Amemuweka tena Mkhitaryan, huyu kocha ni jipu...hakuna mechi anayoanza huyu tukashinda.
Since Fellaini ameumia Mourinho alikosa alternative now itapunguza mzigoInapendeza kumuona Big Fella karudi kwa muda mrefu tumekosa wachezaji wenye kupambana kwa ajili ya timu
Huwa ninatamanigi kuona baada ya kufunga atatumia style gani kushangilia.Lingard magoli yake asee yote mazuri kabisa.
Hahaaa dancer yule.Huwa ninatamanigi kuona baada ya kufunga atatumia style gani kushangilia.
Mpira wa Uingereza mgumu, arudi tu kule alikotoka.We must admit mikhy sahv hayupo kwenye form