Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unajiona ulivyo mweupe kichwani nani kakwambia kuwa na contract ndio Sababu ya kutofukuzwa

David Moyes alikuwa na mkataba wa miaka kibao ila aliitumia miezi 10 tu kama kocha wa Manchester united. Nikuulize Van Gal aliondoka mkataba ukiwa umeisha???

Nikuulize tena Mourinho alivyofukuzwa Chelsea mkataba wake ulikuwa umeisha??? Nikuulize tena wiki kadhaa tumeshuhudia kocha Tonny Pulis wa West Bromwich na Slaven Belisic wa Westham wakitimuliwa , Je sababu ilikuwa ni mikataba ??? Vipi kuhusu Carlo ancelot na Bayern Munich??? Una mfahamu kocha wa simba sport club Joseph Omog ?

Jibu ni moja wote hao walifukuzwa wakiwa na miaka kadhaa kwenye mikataba yao. Unapaswa kujifunza security ya kocha ni team kupata mafanikio tu na sio kupewa miaka 30 kwenye mkataba.

Nimekuona huna hoja, legends wa Manchester especially class of 92 huwa hawana soni hata Mara moja Moyes, Van Gal na Leo mourinho wakizingua wanaambiwa.

Leo mashabiki wengi wa Manchester united wanalalamika team haichezi vizuri ila scholes alikuwa ameshaliona hili long time wakati wewe ukiwa uko kwenu kwenye vibanda umiza ukitemeana mate na wenzako Paul Scholes believes Manchester United will NEVER play entertaining football under Jose Mourinho

Kama nilivyokwambia Legends wa Manchester united especially Paul Scholes huwa harembeshi Kama wewe unavyomtetea mourinho hata anapokosea, hapa Paul Scholes alimpa heko kwa usajili aliofanya Paul Scholes hails Jose Mourinho's 'great signings' at Manchester United

Soma alichosema Legend mwingine baada ya vita vua maneno kati ya Paul scholes na Mourinho na sio wewe kuwa biased wakati huna lolote unalojua
Neville steps into Mourinho and Scholes row over Pogba | Daily Mail Online

GGMU
Nnachoamini Mimi scholes ana uchungu na man U kuliko Mourinho na ndio maana hata Rais Wa Inter Milan Wa kipindi hicho anasema "tulitamani sana Paul acheze kwenye timu yetu,tukaenda Manchester na hundi isiyojazwa" ( hapa anamaanisha man u ndio wangesema kiwango wanachohitaji). "Lakini nilipomfata Scholes na kumueleza nia yetu akaniambia...tazama unataka nicheze kwenye timu yako? Ni rahisi tu,utahitajika kuinunua Man United hapo tayari ntakuwa ninachezea timu yako". Rais anasema " na hivi hakuwa hata na wakala majibu hayo alinijibu yeye mwenyewe na kufanya mambo yawe magumu zaidi"
 
kidunula1 mm nakubaliana na wewe asilimia 100 ila hawa kwa nn muda wote ni kuwaponda wachezaj na kocha?

haya yalimtokea henry anafundisha academy ya arsenal jion anawaponda wenger alimtimua achague kazi ya kufanya mana hawajengi wanabomoa yeye scholes anafaham toka sir alex yupo ni namna gani kahangaika kuliziba pengo la kean na la kwake scholes na hakufanikiwa dakika za mwisho scholes kastaafu kaombwa arud tena kwa kuwa hamna viungo wa kuziba lile pengo na sir alex alinunua viungo wengi kama mbadala lakin wap leo mourinho anaanza kuamka madongo yameanza

timu haikuwa na viungo wa maana wala mabek kocha ndo kaanza kanunua viungo pogba wote tumeona msaada wake kamleta matic wote tumeona msaada wake saiv anaangalia mbadala wa carick bek mbili na tatu + 7 na kwenye 11 alimuona perisic bahat mbaya mambo hayakwenda sawa mourinho ana kosa gani?

angalia wachezaj tulionao na nafasi tuliyopo angalia arsenal wakiwa fit bila malumbano ya sanchez na ozil na spurs na chelsea nafas walizonazo kweli kwa hilo mourinho wakumlaumu?

pia ananunua wakat huo huo anaangalia na kwenye academy scott na tuanzebe wapo pale wanapata uzoefu ktk sehem ya kiungo kampandisha angel gomez anapata uzoef sioni kosa la kocha.
 
Acha zako wewe unaelewa maana ya kuponda ??? Sijui wabongo tukoje, ndio maana hamtaki kukosolewa.
Hebu soma hapa kutoka ESPN On Pogba, Scholes and Mourinho were right

Halafu nani kakwambia Henry The Vava Voon alipigwa chini na Wenger kuwa kocha wa academy ya arsenal kwa sababu hiyo ya kiuchwara ... Ilikuwa bado kidogo nikuite muongo ila nimekustiri.

Wenger alitaka Henry aache kazi kituo cha TV cha sky sport ndio awe kocha na sio kufanya kazi ya ukocha na uchambuzi kwa muda wote. Yaani Wenger hakutaka kumuona henry Leo uwanjani kesho kwenye TV. Hilo suala halikuingia kichwani kwa henry. Unajua Henry Ni miongoni Mwa wachambuzi wakubwa wanaolipwa sky sport, sio rahisi kuacha hiyo kazi. Thierry Henry rejects Arsenal coaching role to continue as TV pundit

Kuweni mnakuja na Reliable Information na sio kutuhadaa. Mourinho sio mungu atapondwa anapostahili kupondwa na atasifiwa anapistahili. Ulivyo mweupe unadhani ni scholes pekee ndio humponda Mourinho..

Mcheki huyu legend wa zamani wa Liverpool tena wapinzani Wetu Sky Sports pundit slams Man Utd boss Jose Mourinho: These signings are not good enough

Haya mcheki Legend Wetu Crook akimponda Mourinho BBC pundit takes 'Special One' swipe at Mourinho over Man United selection

Mcheki king cantona kuwa hapendi tactics za Mourinho Jose Mourinho Brilliantly Responds To Those Who Criticise His ‘Defensive’ Style - Pundit Arena

Ila wewe hao wooooote hujawaona umemuona Paul Scholes tu, nyie ndio mnatutafutia Ban za Bure.

Good Morning Africa. GGMU
 
Ban ntakupiga mm au mods kwa matusi yako na lugha zisizo na staha? Na kwa nn upigwe ban ikiwa una akili timamu au hujui maana ya mijadala?

Mourinho kamjibu scholes ndo mada iliyokuwepo na aliembain alishawafanyia hivi hao wote usifikir tunakuja kwa bahat hapa

promo333473762.jpg

Jose Mourinho has told Manchester United's critics to "calm down" and "not speak too much" after they beat in-form title rivals Tottenham 1-0 .

Hakuna kocha anaevumilia kupondewa wacheaji wake nashangaa wewe unatukana tu hapa hamna anetunga habar kumfurahisha nani?

WENGER FIRES BACK AFTER HENRY'S ALEXIS DIG: PUNDITS CAN'T BE INTELLIGENT ALL THE TIME
 
Acha zako wewe unaelewa maana ya kuponda ??? Sijui wabongo tukoje, ndio maana hamtaki kukosolewa.
Hebu soma hapa kutoka ESPN On Pogba, Scholes and Mourinho were right

Halafu nani kakwambia Henry The Vava Voon alipigwa chini na Wenger kuwa kocha wa academy ya arsenal kwa sababu hiyo ya kiuchwara ... Ilikuwa bado kidogo nikuite muongo ila nimekustiri.

Wenger alitaka Henry aache kazi kituo cha TV cha sky sport ndio awe kocha na sio kufanya kazi ya ukocha na uchambuzi kwa muda wote. Yaani Wenger hakutaka kumuona henry Leo uwanjani kesho kwenye TV. Hilo suala halikuingia kichwani kwa henry. Unajua Henry Ni miongoni Mwa wachambuzi wakubwa wanaolipwa sky sport, sio rahisi kuacha hiyo kazi. Thierry Henry rejects Arsenal coaching role to continue as TV pundit

Kuweni mnakuja na Reliable Information na sio kutuhadaa. Mourinho sio mungu atapondwa anapostahili kupondwa na atasifiwa anapistahili. Ulivyo mweupe unadhani ni scholes pekee ndio humponda Mourinho..

Mcheki huyu legend wa zamani wa Liverpool tena wapinzani Wetu Sky Sports pundit slams Man Utd boss Jose Mourinho: These signings are not good enough

Haya mcheki Legend Wetu Crook akimponda Mourinho BBC pundit takes 'Special One' swipe at Mourinho over Man United selection

Mcheki king cantona kuwa hapendi tactics za Mourinho Jose Mourinho Brilliantly Responds To Those Who Criticise His ‘Defensive’ Style - Pundit Arena

Ila wewe hao wooooote hujawaona umemuona Paul Scholes tu, nyie ndio mnatutafutia Ban za Bure.

Good Morning Africa. GGMU

Eti sababu ya kiuchwara soma hapo chini sioni mantiki ya kudanganya na ili iwe nini? Ndugu wenzio tunapoandika kitu tunajua na tunaona hatupambani tu.

Arsenal's Arsene Wenger right to end dual roles for Thierry Henry - Garde
Arsene Wenger was right to make Thierry Henry choose between a coaching role at Arsenal and his work as a television pundit, according to former Gunners midfielder Remi Garde.
Ex-Gunners striker Henry, 38, worked with forwards in Arsenal's youth ranks last season and was offered the chance to coach the under-18 side for the upcoming campaign.
However, Arsenal manager Wenger, 66, demanded that Henry give up his big-money job as an analyst with Sky Sports in the UK in order to take up a new role with last season's Premier League runners-up.
Henry refused and Garde, who Wenger brought to Arsenal in 1996, said that the veteran coach was right to highlight a conflict of interest.
"I understand Arsene's decision because it seems difficult to me to reconcile the two jobs," Garde told L'Equipe. "This mix of genres could quickly lead to ambiguous situations that make everyone feel uncomfortable.
"There are already enough tensions that crop up during the season that a manager cannot control. It's better to avoid those that you can anticipate."
Garde, 50, sought Wenger's advice before becoming manager of Aston Villa last November. The Frenchman left the position in March, shortly before Villa were relegated from the Premier League.
 
pamoja na maoni ninachoshukuru mourinho kamnyoosha next time ataacha shobo kwenye kazi za wanaume wanaume wenye shobo ni kuwapa za uso tu by the way

utaendelea kuqoute kimpango wako mara sijui mourunho atoke ndo kwanza wanampa kandarasi mpya wenye timu na bod wameona kazi yake wenye shobo na ujuaji pigeni madebe tu

kwa kumalizia hapa hamna tulipojadili sijui giggs kumponda vana gal amasajili mbape yeye alichosema kuyumba kwa timu ni ubovu wa makocha wawili waliopita fukuzafukuza hajasema habar za mourinho mbovu

na wakimsema mourinho nnachompenda ni nyundo tu kama trump.
Morinho sio mbovu ata kidogo kk naungana na ww,ila tukubali kuambiwa ukweli kama tuna kikosi cha kawaida.
 
Tatizo tulilonalo sisi ni wachezaji mkuu hilo halina ubish na naungana na ww ila sio mourinho mbovu japo kuna muda huwa anakosea ila sio kila mara kumsema tu
 
Narudia Maneno Yangu kwa Mara ya mwisho na ipo siku hii kauli itafukuliwa kama kufukua kaburi humu jamii forum,

MOURINHO HANA UWEZO WA KUIVUSHA MANCHESTER UNITED KWENDA NDOTO ZA MASHABIKI WENGI WANAVYOOTA MANCHESTER UNITED IWE. Saba u kuu ni hii

Mourinho hayupo vizuri kwenye mbinu (Tactics) na mara zote akikutana na makocha ambao wapo vizuri kimbinu huwa hafurukuti. Angalia alivyokuwa Real Madrid Licha ya lundo la masupastaa kama Ronaldo and the likes hakuweza kufurukuta na kuishia kutimuliwa. Unaikumbuka real Madrid chini ya Mourinho ilivyokuwa dhidi ya Barcelona ya Pep Guardiola ambae alikuwa vizuri kimbinu ???.
Mbinu zake zimekuwa "outdated" hazifanyi kazi kwa

Pep Guardiola atamfanya mourinho aweweseke sana kama alivyofanywa kipindi akiwa Madrid ... Yaani Mourinho hawezi kujitutumua kwenye ligi yoyote kwenye uwepo wa pep Guardiola .. Huu ni ukweli mchungu na utasema mbona Guardiola mwaka Jana hakuchukua taji lolote huku Mourinho akibeba ndoo mbili.

Jibu Langu: Guardiola anaweza kubeba vikombe viwili msimu huu na kuendelea na Mourinho msimu Jana ndio unaweza kuwa ndio msimu wake wa mwisho kubeba ndoo na united labda asiwe anakutana na mancity......
 
Na kile kipindi morinho anachukua la liga kwa kuweka record ya kukusanya points nyingi na magoli mengi ya kufunga gadiola alikuwa wap?
 
Narudia Maneno Yangu kwa Mara ya mwisho na ipo siku hii kauli itafukuliwa kama kufukua kaburi humu jamii forum,

MOURINHO HANA UWEZO WA KUIVUSHA MANCHESTER UNITED KWENDA NDOTO ZA MASHABIKI WENGI WANAVYOOTA MANCHESTER UNITED IWE. Saba u kuu ni hii

Mourinho hayupo vizuri kwenye mbinu (Tactics) na mara zote akikutana na makocha ambao wapo vizuri kimbinu huwa hafurukuti. Angalia alivyokuwa Real Madrid Licha ya lundo la masupastaa kama Ronaldo and the likes hakuweza kufurukuta na kuishia kutimuliwa. Unaikumbuka real Madrid chini ya Mourinho ilivyokuwa dhidi ya Barcelona ya Pep Guardiola ambae alikuwa vizuri kimbinu ???.
Mbinu zake zimekuwa "outdated" hazifanyi kazi kwa

Pep Guardiola atamfanya mourinho aweweseke sana kama alivyofanywa kipindi akiwa Madrid ... Yaani Mourinho hawezi kujitutumua kwenye ligi yoyote kwenye uwepo wa pep Guardiola .. Huu ni ukweli mchungu na utasema mbona Guardiola mwaka Jana hakuchukua taji lolote huku Mourinho akibeba ndoo mbili.

Jibu Langu: Guardiola anaweza kubeba vikombe viwili msimu huu na kuendelea na Mourinho msimu Jana ndio unaweza kuwa ndio msimu wake wa mwisho kubeba ndoo na united labda asiwe anakutana na mancity......
Madrid walikaa muda gani bila kinyakua la liga? Na waliponyakuwa la liga pep hakuwepo?
 
Mechi ya mwisho alipokuwa anastaafu sir alex pale ilishatoa ishara wachezaj wetu tayar umr ulishawatupa mkono makocha wawili waliofuata hawakuwa makin acheni mourinho afanye kazi yake.

Anaondoka kiungo kamuacha Tom cleverly na michael carick unachomoka vip ukikutana na viungo wa maana hasa timu za chelsea,city waliokuwa wametimia katkat?

Leo mtu anakwambia mbinu huangalii hata wachezaj ulionao na uwekezaj ambao unafanywa unataka apambane na city ni timu ipi round hii imepambana na city zote zile zilizopo top 6?
 
Hoja zake hazina mashiko,labda aseme tu anachuki zake na morinho
Chuki tu nakaibuka baada ya city kutufunga rud nyuma huko uone tulipokuwa tukishida goli nne kama utaona kaandika mourinho hana mbinu.

Saiv angalau hata timu unaona kuna ka ugumu katkat tumebakiza 7 na 11 tukipata 2 na 3 na mbadala wa carick gari lishawaka moto.
 
Back
Top Bottom