Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi kwann mnahangaika na huyu punga, achaneni nae bhana
Punga ni Baba yako aliepakaziwa wewe na mama yako kuwa ni mwanae kumbe wewe ni Mtoto wa mchimba mitaro mtaani....

Una lingine ???
 
Madrid walikaa muda gani bila kinyakua la liga? Na waliponyakuwa la liga pep hakuwepo?
Suala sio yeye kuchukua kikombe au la, what I have been stressing since today morning ni mourinho huwa na wakati mgumu anapokuwa ligi moja na pep Guardiola... Nimekuwekea picha hapo angalia Mourinho alipokuwa Madrid alichukua vikombe vingapi.

Rekodi zinaonesha alibeba ubingwa wa laliga Mara 1 tu, halafu angalia upande wa Pep alibeba ubingwa Mara ngapi. Mpaka hapo hujaona nani ni bora na nani alikuwa na wakati mgumu dhidi ya mwenzake.

Ni kichaa pekee ndio anaweza kuupinga huu ukweli "Naked truth"
 
Attachments

  • 1515171455307.png
    1515171455307.png
    64.2 KB · Views: 31
Suala sio yeye kuchukua kikombe au la, what I have been stressing since today morning ni mourinho huwa na wakati mgumu anapokuwa ligi moja na pep Guardiola... Nimekuwekea picha hapo angalia Mourinho alipokuwa Madrid alichukua vikombe vingapi.

Rekodi zinaonesha alibeba ubingwa wa laliga Mara 1 tu, halafu angalia upande wa Pep alibeba ubingwa Mara ngapi. Mpaka hapo hujaona nani ni bora na nani alikuwa na wakati mgumu dhidi ya mwenzake.

Ni kichaa pekee ndio anaweza kuupinga huu ukweli "Naked truth"
Kwahyo ulitaka tumlete nan anayeweza kupambana na gudiola kwa kuangalia izo data zako ??
 
Suala sio yeye kuchukua kikombe au la, what I have been stressing since today morning ni mourinho huwa na wakati mgumu anapokuwa ligi moja na pep Guardiola... Nimekuwekea picha hapo angalia Mourinho alipokuwa Madrid alichukua vikombe vingapi.

Rekodi zinaonesha alibeba ubingwa wa laliga Mara 1 tu, halafu angalia upande wa Pep alibeba ubingwa Mara ngapi. Mpaka hapo hujaona nani ni bora na nani alikuwa na wakati mgumu dhidi ya mwenzake.

Ni kichaa pekee ndio anaweza kuupinga huu ukweli "Naked truth"
Kwa ile barcelona ndo usimange mourinho ndugu haupo ulimwengu wa soka manchester ya sir alex ilifanywaje? Mess,xav,iniesta na busquet had muda huu hamna viungo wanaokaribia ktk ubora waliokuwa nao pep alibeba kila kitu alipoend ujeruman na ile buyern yake alifika fainali ya uefa?
 
Uyo hana facts bali ni chuki tu na morunho
 
Suala sio yeye kuchukua kikombe au la, what I have been stressing since today morning ni mourinho huwa na wakati mgumu anapokuwa ligi moja na pep Guardiola... Nimekuwekea picha hapo angalia Mourinho alipokuwa Madrid alichukua vikombe vingapi.

Rekodi zinaonesha alibeba ubingwa wa laliga Mara 1 tu, halafu angalia upande wa Pep alibeba ubingwa Mara ngapi. Mpaka hapo hujaona nani ni bora na nani alikuwa na wakati mgumu dhidi ya mwenzake.

Ni kichaa pekee ndio anaweza kuupinga huu ukweli "Naked truth"
Hivi wewe jamaa unajua hata kusoma kiingereza??

Mourinho 23 in total and Pep 21. Iweje pep awe bora kuliko Mou??

Itabidi uresit KKK wewe...Kusoma, Kuandika na Kuhesabu.
 
“Nothing much, just hanging with Sally.”)

Ulikimbia umande wewe, umeambiwa Mourinho alibeba makombe matatu laliga au unadhani hivyo vikombe vyote alivichukua akiwa Laliga....

Fanya comparison ya vikombe vya Mourinho Vs Guardiola kuanzia mwaka alipoanza kuigundisha real Madrid ndio utajua nani best....

The Ditch.
 
Nadhani tunakosa watu wagumu ambao wengine mnawapa majina kama average players mimi nasema walikuwa zaidi ya jina hilo mnalowapa watu kama wale mapacha wa kibrazil muongeze Darren flatcher pia oshea na brown huku park hawa ni baadhi wa wachezaji walio kuwa wanajua berg ya united inawataka waifanyie nini hata mkifungwa mnatoka mmeridhika kuwa wachezaji wamepigana kweli. Binafsi naliona hilo na tulikuwa tunachukua mwali vizuri tu maoni yangu ni haya.
 
Amemuweka tena Mkhitaryan, huyu kocha ni jipu...hakuna mechi anayoanza huyu tukashinda. Si mlisema ameachiliwa aondoke Old Traford, bado tuuuu
 
Back
Top Bottom