Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ushasema De Gea # 20 bado tu hujaona madhara ya Europa League

Kigezo kikuu ni performance UCL

Ila mwakani kuna World Cup nayo ni kigezo kikubwa

Nfano Pogba abebe UCL msimu huu halafu WC afike fainali au achukue kabisa na kungara hapo anajibebea kiulaini

Ushasema De Gea # 20 bado tu hujaona madhara ya Europa League

Kigezo kikuu ni performance UCL

Ila mwakani kuna World Cup nayo ni kigezo kikubwa

Nfano Pogba abebe UCL msimu huu halafu WC afike fainali au achukue kabisa na kungara hapo anajibebea kiulaini
 
FB_IMG_1515389748118.jpg
 
Kosa la Mourinho liko wapi?
Ye aliulizwa swali kwann siku hizi hashangilii (hana mzuka kama kipindi cha mwanzo) ye alijibu kwamba ye sio mjinga mjinga wa kuanza kuruka ruka kwenye touch line (hakumtaja mtu) sasa kale kavaa wigi bingwa wa kubeti kakajishitukia kakajifanya kumtukana jose, kalijua atakanyamazia.
hahahaa
 
Ozil ambaye yupo kwenye mwaka wake wa mwisho , amegoma kuongeza mkataba mpya pale Emirates na gazeti la Mirror limesema kwamba Mourinho amepewa ruksa ya kuzungumza na nyota huyo mwenye umri wa miaka 29
Gazeti hilo pia limesema kwamba Mourinho amepanga kutumia paundi milioni 80 kwa mwezi huu wa Januari, na anajiandaa kujidiliana na Gunners kuhusu bei ya kulipa kwa ajili ya nyota huyo
Wenger ana nia ya kumbakiza North London nyota huyo wa Ujerumani, licha ya Ozili kubakiza siku chache kwenye mkataba wake

Bayern Munich na Paris Saint Germain pia zimekuwa zikuwania Mesut Ozil
 
Mechi tunayozungumzia ambayo Arsenal amekuja NNE Jana ni FA baba siyo carabao.
 
PL clubs in the The Emirates FA Cup 4th Round...

Liverpool v West Brom
Peterborough v Fleetwood/ Leicester
Huddersfield v Birmingham
Notts County v Wolves/ Swansea
Yeovil v Man Utd
Cardiff/ Mansfield v Man City
Southampton v Watford
Boro v Brighton/ C Palace
Bournemouth/ Wigan v Shrewsbury/ West Ham
Newport v Spurs
Norwich/ Chelsea v Newcastle
 
Nimeingia jukwaa la likes kule kwa captain Rutashubanyuma nimeishia kucheka tu daaa
 
Back
Top Bottom