Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jesse Lingard Kwa Sasa Namkubali Ni Good Young Talented!

Lakini swali La Kujiuliza Ni Je, Ataweza Kuendeleza Consistency??
Asije Akavimba Bichwa kama Rashford??
Rashford alianza Vizuri tu, lakini alipoona anamwagiwa Misifa Kwenye kurasa zake za Twitter na Instagram Basi akaona Bora acheze na Mitandao Kuliko Kipaji Chake...
Sasahivi Kawa Kama Wabrazili.. (Adriano, Ronaldinho, Pato, De Lima etc)
Consistency ya lingard bado tunasubir na mwakan tumwekee akiba ya maneno ila namba kupata itakuwa changamoto kubwa naona kama watasajili tena watu akifikisha goli kumi atakuwa kajitahid sana msimu huu pia rashford naona uchovu kacheza mechi nyingi sana pia nikiangalia watu anaoshindania namba hii inampoteza hajatofautiana sana watakapoleta watu wa maana akir zitawakaa sawa
 
Back
Top Bottom