lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,197
- 28,079
Ni kwamba unataka kila mtu/shabiki afikiri ufikirivyo wewe?Mashabiki wengi wa Mau kwenye hili jukwaa ni wamejaa uswahili, h
timu ikifanya vizuri wanampongeza kocha na wachezaji, ila ikidraw basi lawana tele. Kuna watu wanakosoa mbinu za mwalimu wakati wenyewe wakipewa hata chekechea hawawezi kufundisha. Tuwe na ushabiki na pia tuweze kukubaliana na yale timu inafanya, huku kuna watu wanaongea mbovu utadhani hata wana hisa kwenye club
Kuweza kufundisha chekechea na kuwa na hisa katika club kuna uhusiano gani na ukosoaji wa mbinu za Mou?
Kila shabiki anayo uhuru wa kukosoa na kufurahia timu jinsi atakavyoona inafaa kwasababu aliamua kuipenda timu mwenyewe,sio wewe wala mimi tuliomshawishi aipende timu!