Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sijaelewa liver kashindaje dah inabidi wachezaji wetu wakaze sana aisee.. Timu nyingine wachezaji wanafight mpaka dakika ya mwisho yani.
 
Man anashinda lakini kwa kuhangaika sana, bila kusahau toffees wako vizuri chini ya big Sam kwa sasa, tuwe na subira japokuwa wachawi wangu Peter Drury na Jim Begrin ndio watangazaji, huwa wakitangaza timu yangu kushinda ni kazi
 
Back
Top Bottom