eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
hii sentensi niliwahi isema msimu uliopita pale nilipoona anashindwa kufanya maamuzi magumu ili kuisaidia timu ishinde......jamaa kazidiwa kwa kweli unaacha kumgombeza rashford anaezingua kule mbele unahangaika kumgombeza shaw anaepandisha timu muda woteManchester United ni kubwa kulko Josee tuwe wakweli!!
Ha ha ha...Timu apewe Omog aliyetimuliwa simba fc..jose should be sacked..
hahaha vitu vingine sio vya kuchekaCaptain ktk ubora wake baada ya ushindi wa point 1, muhimu mnoo
Anachezeshwa mipira ya juu tu muda wote sijui mbinu gan hizView attachment 664229 Get Well Soon Romelu
hakuna, ukweli ni kwamba kila timu inatafta matokeo, kwaio usiende mbali sana!Hii itakuwa draw ya Tatu mfululizo, lazima kuna tatizo la mahusiano kati ya Mou na wachezaji au management.
Kwani hawajapata matokeo?hakuna, ukweli ni kwamba kila timu inatafta matokeo, kwaio usiende mbali sana!
Absolutely Mkuu,,hii sentensi niliwahi isema msimu uliopita pale nilipoona anashindwa kufanya maamuzi magumu ili kuisaidia timu ishinde......jamaa kazidiwa kwa kweli unaacha kumgombeza rashford anaezingua kule mbele unahangaika kumgombeza shaw anaepandisha timu muda wote
Kiongozi...Bila shaka kuna campaign against Jose inaendeshwa chini kwa chini yawezekana baadhi ya wachezaji hawakubaliani na mbinu za mwalimu.
Duwa nyingine mbaya sana !Hii timu itakuja ondoka na roho yangu.
Habari mkuu!!@Pamoja na hali ngumu iliyopo (majeruhi wengi, Mou kubaniwa mkataba, kutoa draw mechi ya ushindi wa wazi last week) lakini Leo Burnley lazima wakae, lazima wapigwe vizuri. All the best MUFC.
Hamna lolote hapohii sentensi niliwahi isema msimu uliopita pale nilipoona anashindwa kufanya maamuzi magumu ili kuisaidia timu ishinde......jamaa kazidiwa kwa kweli unaacha kumgombeza rashford anaezingua kule mbele unahangaika kumgombeza shaw anaepandisha timu muda wote