Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kama bodi wanamawazo kama yako, basi msitegemee jipya kwenye timu yetu.

Umemuona kipara alivopangua pangua kikosi chake?

Nilitaka nikujibu kuhusu young, ila nilipoona unamlinganisha Herrera na Toure, nikajua haupo serious.

Timu yetu haiitaji panguapangua kama ya man city unayoisema wewe ..kuna baadhi ya wachezaji tu wachache inabidi waondolewe kama darmian,blind,zlatan,carrick na wengine wachache waongezwe ili kuimarisha timu...

Mchezaji kama sterling msimu uliopita alikuwa anataka kuuzwa,ila msimu huu amengaa,na ni mchezaji tegemeo..what if angeuzwa msimu uliopita...mfumo na the way kocha unavyowatreat wachezaji ndivo inawafanya wawe bora

Nimeona umesema kuwa liverpool wana mtu kama mane..hivi mane yupo kwenye peak kama ya msimu uliopita?..si vibaya kabisa kusema ameflop msimu huu..

Hivi john stones anamzidi uwezo baily?..kompany anachomzidi jones ni nn?

Una pogba ambaye anatakiwa awe anafanya anachokifanya De bruyne

Una matic,lukaku,mata,valencia,martial,lingard,baily,jones,young,de gea(kipa bora kabisa),...kwa hakika timu hii angepewa pep ingekuwa bora kabisa..
 
Kipara alimleta Bravo kamuondoa, alimleta Nolito kamuondoa na kama ishu ni kuwa treat wachezaji kulikua na haja gani ya kuwaondoa akina zabaleta na wenzie, angewatumia hao hao kumbuka kikosi alichokikuta kipara pale city kilikua bora kuliko hata alichokikuta mourinho utd

Nimeona umesema kuwa liverpool wana mtu kama mane..hivi mane yupo kwenye peak kama ya msimu uliopita?..si vibaya kabisa kusema ameflop msimu huu..
Mane huyu wa msimu huu ni bora kuliko forward wetu yyte yule

Hivi john stones anamzidi uwezo baily?..kompany anachomzidi jones ni nn?
Tofauti ni kwamba jones anaanza wakati kompany anaanzia benchi

Una pogba ambaye anatakiwa awe anafanya anachokifanya De bruyne

Una matic,lukaku,mata,valencia,martial,lingard,baily,jones,young,de gea(kipa bora kabisa),...kwa hakika timu hii angepewa pep ingekuwa bora kabisa..

Embu niambie hao wachezi uliowataja hapo apart from de gea matic, Bailly na pogba nani anaweza hata kukaa sub ya man city
 
Habari za humu mashabiki wenzangu wa Man Utd? Naomba kama kuna admin wa group active la Man Utd aniadd namba yangu ni 0719455405
 
Timu yetu haiitaji panguapangua kama ya man city unayoisema wewe ..kuna baadhi ya wachezaji tu wachache inabidi waondolewe kama darmian,blind,zlatan,carrick na wengine wachache waongezwe ili kuimarisha timu...

Mchezaji kama sterling msimu uliopita alikuwa anataka kuuzwa,ila msimu huu amengaa,na ni mchezaji tegemeo..what if angeuzwa msimu uliopita...mfumo na the way kocha unavyowatreat wachezaji ndivo inawafanya wawe bora

Nimeona umesema kuwa liverpool wana mtu kama mane..hivi mane yupo kwenye peak kama ya msimu uliopita?..si vibaya kabisa kusema ameflop msimu huu..

Hivi john stones anamzidi uwezo baily?..kompany anachomzidi jones ni nn?

Una pogba ambaye anatakiwa awe anafanya anachokifanya De bruyne

Una matic,lukaku,mata,valencia,martial,lingard,baily,jones,young,de gea(kipa bora kabisa),...kwa hakika timu hii angepewa pep ingekuwa bora kabisa..

Jaribu kuongelea reality kwanza Pep hakuikuta Man City mbovu sana kama Jose alivyoikuta United kibaya zaidi mifumo ya SAF,Moyes,LVG na Mourinho yote inatofautiana kabisa tofauti na City mifumo ya Pellegrini na Pep haina tofauti sana
miaka ya karibuni City haijwahi kuwa nje ya top 4 na tayari walikuwa na wachezaji wazuri ambao walishaanza kuzoeana(Silva,KDB,Sterling,Aguero,Fernandinho,Otamendi)wachezaji wote ambao hawafit kwenye mfumo wake(Hart,Sagna,Nasri,Bony,Ihenacho,Clichy,Zabaleta,Fernando,Navas) wote aliwaondoa

Hawa wachezaji waliopo United ni wachache sana wangeweza kufit kwenye mfumo wa Pep wengi wangekuwa backup players kwa mfumo wa Pep hata De Gea angeweza kupigwa benchi.Mourinho kuna mistake ame/anazifanya lakini anapewa lawama nyingine hastahili Pep amenunua karibia defence yote while Mourinho amemnunua Bailly peke yake na anaendelea kuwatumia Young,Valencia,Rojo,Smalling,Darmian ambao wengi wanapaswa kuwa backup players

United inapaswa kuwa na fullback wapya (RB &LB) hawa waliopo so far wengi ni wa kuanzia benchi
 
ila mimi naamini hii ni one season wonder, hawezi kuchukua back to back epl titles
Morinyo alikuja na speed kubwa 2004 akabeba ndoo Mara 2 mfulululizo
Msimu wa 3 babu Saf akamuonyesha kazi mpaka akapoteza kibarua
Kuhusu man city Mimi naona ni moto wa mabua mwaka huu kombe lao ila mwakani sizani kama atabeba ndoo
 
Mbona unatabiri vizuri ivyo wewe ni mke wa sheik nan?
 
Matumaini ya ubingwa kwa sasa ni madogo mno kwa kuwa yanategemea makosa ya Man City "noise neighbours".
Tunahitaji kujiimarisha tuendelee kupambana kwa ubingwa(kama jamaa watateleza) au tutafute CL spot mwakani.
Pia,tukomae CL kwa sasa kwa kuwa lolote linaweza kutokea kule.
[HASHTAG]#manutd[/HASHTAG] 4ever#
Mkuu umewaza kama Mimi
[HASHTAG]#manutd[/HASHTAG] [HASHTAG]#4ever[/HASHTAG]
 
26111932_10155400080707746_7677227708420908577_n.jpg
 
Na wewe umekubaliana nae? Basi akili zako na zake hazina tofauti.

Man city hakuna jones wala smalling kuna otamendi na stones
. Niambie hii mizigo itapata namba timu gani pale EPL Darmian, Blind, Zlatan, Rashbeck, smalling, young, Fellain, Herrera
Mtoe Ashley young na Rashford kwenye hiyo list
 
Mourinho kafanya kazi kubwa sana Manchester hadi hapa alipofika, huwezi ukawa na wachezaji kama lingard, Rashbeck, young, smalling, Jones, Zlatan, Herrera alafu ukawa nafasi ya pili kwenye msimamo ukazipita timu zenye akina Sanchez, Ozil, mane, salah, countinho au Hazard.

Huna fullback kwenye kikosi, huna winger kwenye kikosi, CB unaowategemea ni akina smalling lakini unajikongoja kwenye nafasi ya pili nyuma ya kocha aliebadili karibu robo tatu ya kikosi chake
Alinyimwa hela ya kusajiri?? Alikatazwa kusajiri?? Muda mwingine muwe mnatumia akili
 
Back
Top Bottom