Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sío lazima tukwambie tunatakA position yako ni kujiongeza tu
Tushakupigia Alarm utajiadd

Matokeo yako ya sasa tunayajua,we are just waiting, time will tell
Ngumu sana arsenal kufika pale ni sawa na maji kupanda mlima labda mashabiki wote wa arsenal duniani mumlilie Mungu mfunge mwez bil kula

Arsenal mwenyewe ana matokeo gan unashinda na crystal palace unadunguliwa mech ijayo au suluh
 
d7e7c12af44c46891230f460ad515742.jpg

Wakuu kwema humu
 
Ngumu sana arsenal kufika pale ni sawa na maji kupanda mlima labda mashabiki wote wa arsenal duniani mumlilie Mungu mfunge mwez bil kula

Arsenal mwenyewe ana matokeo gan unashinda na crystal palace unadunguliwa mech ijayo au suluh
Sawa let it be miracle
C tupo tuombe tu uzima

Msikimbiane mwisho wa msimu humu
 
Tumejaza wachezaji hewa wengi hawana hata morali timu imepoteza wanacheza kama wameshinda spirit ya ushindi haipo kbsaaa
 
Tetesi
Real Madrid wana hamu ya kumsajili beki wa kushoto wa Fulham na Uingereza Ryan Sessegnon.

Manchester United na Tottenham pia zina hamu ya kumsajili mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 17 (AS via Talksport)
 
Tetesi
Juventus imekataa ombi la klabu ya Manchester United la kutaka kumsajili mshambuliaji wa Argentina Paul Dibala kwa dau la £70m

United imesema kuwa iko tayari kumuachilia kiungo wa kati wa Armenia Henrikh Mkhitaryan, 28, katika mpango huo.(Sun)
 
Shukrani kwa news aisee
 
mourinho should be fired kwa kweli,haiwezekani ukawa una mata,mikhitaryan,pogba,herera,na martial aafu bado si tu timu inakuwa inacheza mchezo a kudefense zaidi bali pia timu napata matokeo yasiyoridhisha, man utd should either play with 4-4-2 au 4-3-3, tushambulie zaidi na kukaa na mpira muda mwingi, we should play in man utd way.
 
man utd katika hili tutakuwa tumepata loss
 
Mkufunzi wa Manchester United Jose Mourinho anasema kuwa dau la £300m alilotumia kuimarisha kikosi chake halitoshi baada ya timu yake kutoka sare ya 2-2 na klabu ya Burnley siku ya Jumanne.
Jesse Lingard alifunga katika dakika za lala salama kusawazisha, na sasa sare hiyo inaiwacha Man United ikiwa pointi 12 nyuma ya viongozi wa ligi ManCity.

''Tuko katika mwaka wa pili kujaribu kujenga timu ambayo unajua sio miongoni mwa timu bora duniani'', alisema raia huyo wa Ureno.
''Manchester City inanunua mabeki wa kushoto na kulia kwa gharama ya washambuliaji, aliongezea''.
Mourinho ambaye aliteuliwa kuwa mufunzi wa United mnamo mwezi Mei 2016 na kuvunja rekodi ya dunia alipomnunua kiungo wa kati Paul Pogba kwa kitita cha £89m, Eric Bailly kwa kitita cha £30m na kiungo wa kati Henrikh Mkhitaryan kwa £26.3m.

Mwaka huu alimnunua Romelu Lukaku kwa £75m ,beki Victor Lindelof kwa £31m na Nemanja Matic kwa £41m.
''Kutumia £300m hazitoshi.Gharama ya vilabu vikubwa ni tofauti na vilabu vyengine''.
''Klabu kubwa za zamani huadhibiwa katika soko kutokana na historia hiyo.Vijana wanafanya kile wanachoweza kufanya na wanaendelea vyema''.
Mourinho aliulizwa iwapo alama nane katika mechi tano zinatosha kwa klabu kama Man United.

Alijibu: Unaposema klabu kama United , je nadhani Milan sio klabu kubwa kama sisi?Unadhani Real Madrid sio klabu kubwa kama yetu?.
''Najua klabu kubwa ni gani.Kitu kimoja ni klabu kubwa na chengine ni ni klabu kubwa ya soka. Ni vitu tofauti''.
''Unazungumzia kuhusu jukumu la kutaka kushinda ligi ya Uingereza, Tottenham haina jukumu kama hilo kwa sababu sio klabu yenye historia kama yetu. Arsenal haina jukumu la kushinda. Chelsea haina jukumu la kushinda. Unapozungumzia kuhusu vilabu vikubwa unazungumzia kuhusu historia ya klabu''.
 
Mechi za Ligi Kuu kesho Jumamosi

Man United vs Southampton,

Watford vs Swansea City,

New Castle United vs Brighton,

Liverpool vs Leicester City,

Huddersfield Town vs Bunley,

Chelsea vs Stoke City,

AFC Bournemouth vs Everton.

Man city vs Crystal Palace
 
mourinho should be fired kwa kweli,haiwezekani ukawa una mata,mikhitaryan,pogba,herera,na martial aafu bado si tu timu inakuwa inacheza mchezo a kudefense zaidi bali pia timu napata matokeo yasiyoridhisha, man utd should either play with 4-4-2 au 4-3-3, tushambulie zaidi na kukaa na mpira muda mwingi, we should play in man utd way.
Kosa la Mourinho nini? Na akiwa fired nani achukue nafasi yake?

Hatuna winga utapelekaje mashambulizi mbele? Ndio maana alikomaa sana kuhusu Perisic lakini ubahiri wa bodi yetu, waligoma

Hatuna Fullback halisi, fullback tunaowatumia saizi ni failed winger tuliowanunua miaka nane iliyopita.

Tuna Jones na smalling kama CB ,
 
Back
Top Bottom