Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tetesi
MAN UTD YAMWONGEZA KLUIVERT KWENYE ORODHA

Manchester United wamemwingiza Justin Kluivert kwenye orodha ya wachezaji wanaotaka kuwasajili dirisha la uhamisho wa Januari, kwa mujibu wa Yahoo Sport .
Kinda huyo wa miaka 18 mtoto wa gwiji la Kidachi Patrick amebakiwa na miezi 18 kwenye mkataba wake, lakini Thomas Lemar, Malcom na Christian Pulisic pia wameingia kwenye rada kwani Jose Mourinho anataka kusajili winga mpya kwenye kikosi chake.
 
Tetesi
MAN UTD YATAJA BEI YA MKHITARYAN

Manchester United wanahitaji kitita cha paundi milioni 35 kumuuza Mkhitaryan kwa mkataba wa kudumu uhamisho wa Januari kwa mujibu wa Daily Mail .
Inaaminika kuwa Inter wanaongoza katika mbio za kuifukuzia sainia ya kiungo huyo ambaye Mourinho hamkubali tena, lakini pia inawezekana Mwarmenia huyo kurudi zake Borussia Dortmund.
Mkataba wa mkopo unatarajiwa kuwa uwezekano mkubwa lakini United wapo tayari kumuuza kama dau nono likitolewa.
 
Tetesi
FELLAINI HATASAINI MKATABA MAN UNITED

Marouane Fellaini amejipanga kuondoka Manchester United kwani amekataa kusaini mkataba mpya klabuni hapo, kwa mujibu wa Express Sport .
Kiungo huyo ameshakataa ofa mpya tayari, na anataka kuondoka iwe ni Januari au mkataba wake utakapokwisha majira ya joto.
 
Tetesi
PSG WANAMTAKA FELLAINI KWA UHAMISHO HURU

Paris Saint-Germain wameulizia uwezekano wa kumpata kiungo wa Manchester United Marouane Fellaini kwa uhamisho wa bure, kwa mujibu wa Mirror .
 
Tetesi
KLABU ZA EPL ZAMWANIA CARRASCO

Klabu za Uingereza zimepata fununu kuwa huenda meneja wa Atletico Madrid Diego Simeone anaweza kumruhusu kuondoka winga wake Yannick Carrasco, kwa mujibu wa AS.
Manchester United na Chelsea zimetajwa kwenye tetesi za kutaka kumsajili Mbelgiji huyo miezi ya hivi karibuni, Mkataba wa Carrasco una thamani ya £86 milioni.
 
Tetesi
MAN UTD YAJITOA KWENYE MBIO ZA GRIEZMANN

Njia itakuwa nyeupe kwa Barcelona kumsajili Antoine Griezmann kwa kitita cha paundi £89 milioni kwani Manchester United hawatafanya mchakato wa kumsajili mshambuliaji huyo wa Atletico Madrid kwa mujibu wa Marca .
 
Pole ka unaangaliA position
UnajuA pamoja na upili wako unaniacha pointi ngapi?
Gemu mbili tu nakukamata
Man u kuweni tayari kwa lolote
Kisha pambaneni na hali zenu
Umeshindwa kupambana na arsenal yako, ila unakuja kutushauri sisi tupambane na hali zetu?

Serious mashabiki wa arsenal mnahitaji maombi!
 
Tetesi
MAN UNITED YACHUANA NA REAL KUMPATA HAZARD

Manchester United wamejipanga kupigana vikumbo na Real Madrid kwa ajiliya saini ya Eden Hazard, kwa mujibu wa Sun .
Hazard na bosi wa United wamefanya kazi pamoja wakiwa Chelsea, na kufanikiwa kunyanyua taji la Ligi Kuu msimu wa 2014-15.
Na gazeti hilo limedai kuwa United watatoa dau la paundi milioni 90 kwa ajili ya mchezaji huyo msimu ujao.
Tuna Lingard, Hazard wa nini?
 
TetesiARSENAL YAPIGANA VIKUMBO NA UNITED KUMSAJILI RUGANI

Arsenal wameingia kwenye mbio za kumsajili beki wa Juventus Daniele Rugani, lakini wanakabiliwa na ushindani kutoka kwa Manchester United, the Sun limeripoti.
 
Arsenal hawanaga akili za kupambania ubingwa unapambana na mtu ambae haongoz ligi wenger kiboko kawabadilisha mentality ya ubingwa had mnapigania nafas ya 4 na ya 2
Sasa man u bado mnAwaza ubingwa ????? Asee nyie ni mafundi
Mm nataka ww urudi nafasini kwako nikucheke vzr
Halafu wote sahivi tunafight for top 4

NakuhAkikishia hunyAnyui kwapa this season
 
Sasa man u bado mnAwaza ubingwa ????? Asee nyie ni mafundi
Mm nataka ww urudi nafasini kwako nikucheke vzr
Halafu wote sahivi tunafight for top 4

NakuhAkikishia hunyAnyui kwapa this season

Arsenal ana batlle na man united what for ? Hapo ndo kwenye swali sio city tena ajabu sana hii chelsea wanaumiza akili na city lakin wenger na watoto wake wanaiwaza united hapo ndo utajua arsenal kwisha kabisa sisi hatuamini ktk kushindwa had dakika ya mwisho
 
Huyu rubaman Arsenal's Fanboy alihamia Sana Hapa Last Season lakini sijui Kapotelea wapi??
Same to Hawa Walihamia Siku Hizi Na Comments Za Kiajabuajabu Nao Pia watapotea.
Rubaman ni moja ya ma legend wa humu jf hasa majukwaa ya sports, namheshimu sana jamaa huyu, achana na hawa wazibua vyoo wanaotuletea shombo humu
 
Arsenal ana batlle na man united what for ? Hapo ndo kwenye swali sio city tena ajabu sana hii chelsea wanaumiza akili na city lakin wenger na watoto wake wanaiwaza united hapo ndo utajua arsenal kwisha kabisa sisi hatuamini ktk kushindwa had dakika ya mwisho
Asee Mr cjui hujaelewa nn yan!!!!!!
Ila cwalaumu ni kawaida yenu

Namaanisha timu zote sahivi tunafight for second position hadi fourth position

Ww kwa mwendo wako wa kujikongoja ndo unataka EPL????
Uliyetupwa na kitimu cha mchAngani carabao????
UliyeponeA chupuchupu kwa Burnley kwako unataka EPL!!!!!! Kweli?????????????????????????
You have to change
You have to talk reality cio kushabikia ujinga
 
Hiyo karabao timu zizotoanaga ni zile za top 3 au 4 zilizokuwepo? Spurs na liverpool walitolewa na timu gan ktk hilo kombe? Timu zote za epl zilikuwepo ktk carabao zimetolewa na timu zipi?

Wenger effect hiyo!!!

Nyie wazee wa kukata tamaa sijasikia kocha akisema tunapambania nafas ya pili uliona wapi hilo?
 
Sío lazima tukwambie tunatakA position yako ni kujiongeza tu
Tushakupigia Alarm utajiadd

Matokeo yako ya sasa tunayajua,we are just waiting, time will tell
 
Back
Top Bottom