Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,555
- 21,508
Hao wachezaji uliowataja wamecheza mechi ngapi msimu huu???Timu yetu haiitaji panguapangua kama ya man city unayoisema wewe ..kuna baadhi ya wachezaji tu wachache inabidi waondolewe kama darmian,blind,zlatan,carrick na wengine wachache waongezwe ili kuimarisha timu...
Mchezaji kama sterling msimu uliopita alikuwa anataka kuuzwa,ila msimu huu amengaa,na ni mchezaji tegemeo..what if angeuzwa msimu uliopita...mfumo na the way kocha unavyowatreat wachezaji ndivo inawafanya wawe bora
Nimeona umesema kuwa liverpool wana mtu kama mane..hivi mane yupo kwenye peak kama ya msimu uliopita?..si vibaya kabisa kusema ameflop msimu huu..
Hivi john stones anamzidi uwezo baily?..kompany anachomzidi jones ni nn?
Una pogba ambaye anatakiwa awe anafanya anachokifanya De bruyne
Una matic,lukaku,mata,valencia,martial,lingard,baily,jones,young,de gea(kipa bora kabisa),...kwa hakika timu hii angepewa pep ingekuwa bora kabisa..
Kubalini tu mourinho mbinu zake zimeisha
