mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,787
I wish you merry Christmas




And happy new year










And happy new year

















Ndio mfumo wa kocha ngoja tuangalie ila boxing day uwa aimuachi mtu salamaWakuu hii mechi nimeikuta katikati. Sasa kuna Ibra,Lukaku na Rashford formation gani inachezwa leo? Ibra needs service,Lukaku needs service hata Rashford anahitaji apasiwe afunge sasa hii mizigo mitatu kweli kuna balance?
Jirani vipi matokeo hapo?Acha wivu
Mtume Muhammad aing'oka meno mawili. Si mchezo!unafikiri kuuona ufalme wa mungu ni kama kunywa juisi ya bamia? lazima ufike kwa tabu sana
ila mimi nipo BunrleyIt is a disgrace kwakweli. Whathell are we playingSpeechless...... 2 goals kipindi cha kwanza afu home khaaaa!!!!! Top 4 tutakuwepo kweli???
Jirani vipi matokeo? Ukumbuke kunitag!!!Pamoja na hali ngumu iliyopo (majeruhi wengi, Mou kubaniwa mkataba, kutoa draw mechi ya ushindi wa wazi last week) lakini Leo Burnley lazima wakae, lazima wapigwe vizuri. All the best MUFC.
Mkuu una wivu sana eet?Jirani vipi matokeo hapo?