Zlatan anatucheleweshea ushindiTunapigana lakini mhh childish inasumbua pale mbele
Pole mkuuWachezaji wanacheza ilimradi wakati wa kushambulia utakuta mtu mmoja ktk box
hahahahaha unachekesha kweli kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa kwenye Uefa napo unategemea hahaha dah!UCL tumetolewa?
Hizo ni khabari za uhakika mze. [emoji2] [emoji2]Wameleta ofa au unasoma udaku? Nyie kombe gani mnalotegemea?
Sawa mkuuLeteni updates plus team news achaneni na haters tuliteteleka ila leo tunatoa kipigo cha mbwa mwizi. Sisi 4 wao 0
#GGMU#
Rashford ndio anatuchelewesha yeye ndio mwenyewe speed poor lakiniZlatan anatucheleweshea ushindi
Tatizo la mournho anaua vipaji, angalia lukaku wa Everton alikuwa on fire, lakin huyu wa man u daah! mech kumi on target moja.Giant wa england ukamfananishe na aston villa
Imeshashindikana.Mnashinda 2/1