kayeke
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,600
- 1,748
Wivu wa nini mkuu?Mkuu una wivu sana eet?
Wivu wa nini mkuu?Mkuu una wivu sana eet?
Tatizo maneno yenu.Mkuu una wivu sana eet?
defensive formation! Mourinho sacks unitedHivi kwanini Lukaku wanamruhusu kwenda nyuma wakati wa set pieces?? Mara ya 4 sasa anafungisha
Mimi sielewi tu Ibra ni wanini kikosini mkuu!Angalia Banley wanaposhambulia uwa wanashambulia kwa nguvu sio tunashambulia utazania tunatoka golini
I was right...Mou kachemka ndio maana kafanya mabadiliko. Zlatan ni mzigo ukiwa na Lukaku.Ndio mfumo wa kocha ngoja tuangalie ila boxing day uwa aimuachi mtu salama
Tatizo hawa madogo hawana consistencyJamani hivi bado kuna watu hawamuelewi Lingard?