Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hodi hodi naingia.
Salaam mashabiki wa man u.
Poleni kwa kipigo.maana mpira hamjui.
Watoto wa mchangani.wamewatoeni jasho.
Man u sio team.bora mkacheze rede
 
Kama ntakuwa sikosei, hata Man city wamefungwa magoli 7 wakiwa kwao, lakini ni big threat in his home turf than Man utd. A threat comes when you play attacking football. Arsenal was a threat when they play United, we were opportunists. Shots 33 arsenal wamepata kwa 8 za MU....

Ndio maana nakwambia Timu nyengine zikija Trafford zinaamini zinauwezo wa kupata magoli kwa jinsi wanavopata chance za kushambulia mara kwa mara.... kwa sababu tunawaachia wacheze wanavotaka.... kitu ambacho wenzetu hawaruhusu adui akae na mpira akiwa huru.

Ila mkuu kama unaiona MU inatisha kwenye epl, bora nikae kimya tu. Ndio maana tunatafuta droo tukicheza na timu kubwa. Halafu nnachoshangaza MOU analamika anasema timu zikija trafford zinakuja kudefend tu, wakati yeye mwenyewe ndio mchezo wake....

mnabishana bure tu mourinho uwanja wa nyumbani kautendea haki huwezi kwenda mechi 40 bila kufungwa halafu ukatumbia kuna timu inakuja kuwaza kiurahisi kuondoka na point 3 old trafford utakuwa unatudanganya na kuwafurahisha ant united hata kama city kafungwa goli 7 ni mkali nyumban kwake united goli 3 nani kafanya vizur hapo ingekuwa kitakwimu?
 
Hodi hodi naingia.
Salaam mashabiki wa man u.
Poleni kwa kipigo.maana mpira hamjui.
Watoto wa mchangani.wamewatoeni jasho.
Man u sio team.bora mkacheze rede

hilo kombe manchester united hafikish hata mara 20 kulibeba unataka kutuambia alikuwa anatolewa na timu zilizopo top 3? kabla ya ujio wa mwarabu wa city.
 
Timu yetu sijui iko na shida gani.

Ibra sijui aliongezewa mkataba wa nini.

Nimegundua kwa nn msimu uliopita zile suluhu zilitokana na nini huyu ibra ni tatizo kubwa mno waliokuwa wakimponda Lukaku watie akilini hawez hata kuwaangushia mipira wakina martial na rashford lakin lukaku unaona anavyorahisisha maisha ya lingard,rashford na martial.

ktk usajili tuliofanikiwa ni wa Lukaku hakika nawaambia.
 
Mourinho kweli hamna kitu

Mnanichekesha sana hivi msimu uliopita alipobeba hili kombe top 6 hazikuwepo au zilitolewa zote na manchester united?

tunacheza mechi ya lig ifuatayo na leicester city tena nyumbani kwake kocha afanyanyaje nyuma chelsea point 3 mbele city point 11
 
Acha ujinga wewe hiyo mechi ya Leicester city tutacheza upuuzi mtupu mpaka utajidharau..

Mourinho hana plan B zaidi ya kulinda tu ...

Ni time ya yeye kusepa
 
Acha ujinga wewe hiyo mechi ya Leicester city tutacheza upuuzi mtupu mpaka utajidharau..

Mourinho hana plan B zaidi ya kulinda tu ...

Ni time ya yeye kusepa

Tumia lugha nzur toa wazo lako bila kashfa
 
Acha ujinga wewe hiyo mechi ya Leicester city tutacheza upuuzi mtupu mpaka utajidharau..

Mourinho hana plan B zaidi ya kulinda tu ...

Ni time ya yeye kusepa
Mashabik wa manchester bana ila siwez kukushangaa ndivyo tulivyo watanzania.
 
Mourinho bwana, hata kwa statistics hizi bado anasema hao vijana wa mchangani walikuwa na bahati sana na Man U hawakuwa na bahati tu. Mwalimu wetu asipende kutafuta huruma kwetu mashabiki. Kama timu haiko vema aseme tu, siyo anakosoa wachezaji na hapo hapo anasema wapinzani walikuwa na bahati sana.
 
Attachments

  • Screenshot_20171221-074156.png
    Screenshot_20171221-074156.png
    11.3 KB · Views: 28
Back
Top Bottom