Kama ntakuwa sikosei, hata Man city wamefungwa magoli 7 wakiwa kwao, lakini ni big threat in his home turf than Man utd. A threat comes when you play attacking football. Arsenal was a threat when they play United, we were opportunists. Shots 33 arsenal wamepata kwa 8 za MU....
Ndio maana nakwambia Timu nyengine zikija Trafford zinaamini zinauwezo wa kupata magoli kwa jinsi wanavopata chance za kushambulia mara kwa mara.... kwa sababu tunawaachia wacheze wanavotaka.... kitu ambacho wenzetu hawaruhusu adui akae na mpira akiwa huru.
Ila mkuu kama unaiona MU inatisha kwenye epl, bora nikae kimya tu. Ndio maana tunatafuta droo tukicheza na timu kubwa. Halafu nnachoshangaza MOU analamika anasema timu zikija trafford zinakuja kudefend tu, wakati yeye mwenyewe ndio mchezo wake....