Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,726
Hii timu inatia aibu sana aisee wanaruka ruka tu... Hii timu ndogo lakini imetuzidi kimpira tena sana kuanzia possession mpaka shorts on target..
Mkuu nyama hizo nenda na referenceHii timu inatia aibu sana aisee wanaruka ruka tu... Hii timu ndogo lakini imetuzidi kimpira tena sana kuanzia possession mpaka shorts on target..
Hahaha safiMkuu nyama hizo nenda na reference![]()
Kushinda sio tatizo lakini mechi kama hizi lazima team ionyeshe tofauti na timu inayocheza nayoGame nyepesi kwetu tunashinda hofu yangu ipo kwenye hatua ya nusu
Baba tushakalia kimoja ohhKushinda sio tatizo lakini mechi kama hizi lazima team ionyeshe tofauti na timu inayocheza nayo
Sawa sawa wachezaji wanacheza kma wamelazimishwa hii game inanikumbusha kma game MK Dones ya Dele AliBaba tushakalia kimoja ohh
HapanaWakuu hili kombe lina home and away??
Mule mule mkuuSawa sawa wachezaji wanacheza kma wamelazimishwa hii game inanikumbusha kma game MK Dones ya Dele Ali
Wamefunguka zaidi baada ya kupata mojaHawa watoto wanAweza kutuabisha
Amna ukiisha hvyo ndio mabigwa watetezi outWakuu hili kombe lina home and away??