Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,101
- 10,463
Njia ya kumshinda unayehisi amekutukana ni kujenga HOJA tu Kiongozi...Mashabiki wenzangu wa Man United....haters washavamia jukwaa letu,Nawaasa,wakitukana msiwatukane huo ndio utaratibu wetu hapa!!
Ukifanikiwa katika hilo,unayehisi anakutukana ataondoka kimyakimya..!