Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tetesi
Mashabiki wa Manchester United huenda wakalazimika kulipa hadi £133 kwa tiketi za kombe la vilabu bingwa ugenini dhidi ya Sevilla. (Manchester Evening News)


Manchester United, Real Madrid, Juventus na Bayern Munich wamezindua jezi mpya lakini katika mchezo wa kompyuta wa Fifa wa wachezaji wa miaka 18.(Daily Mail)
 
Tetesi

Mkufunzi wa Manchester United Jose Mourinho anapanga kutoa rekodi ya dau la Uingereza la £90m kumnunua mchezaji wa Chelsea na Ubelgiji ,26, Eden Hazard. (Sun)
 
Tetesi

Atletico Madrid wako tayari kumuuza mshambuliaji wa Ufaransa Antoine Griezmann, 26, kwenda Manchester United baada ya kuiripoti Barcelona kwa Fifa kuhusu madai ya klabu hiyo ya kutaka saini ya mchezaji huyo kinyume na sheria. (Daily Mirror)
 
9c6fc6034c2ee2c802b20a1c56a358d5.jpg
 
Kadabra atolewe kwa mkopo

Team inashangaza inacheza na katimu kadogo lakini inacheza mchezo wa wa kuzubaa
 
Back
Top Bottom