Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yes, but not learning from them Scousers.
So if Scousers went on to winning titles 3 times in a row, utakuja kusema hutaki MU ifanye ivo kwa sababu eti Scousers wamefanya? kazi basi... Haya basi usiwe na football passion kama MU 😀

That’s what United has being doung this season. Ndiyo maana wanaongoza kwa kuwa na more goals in the last 10 minutes of the games.
I see they really put the fight against City, i no longer call them Shitty, because they are f*** threat to MU now, whether you agree or not. Mi sio shabiki wa arsenal ambae hata ukimfunga nane atakwambia yeye bora kuliko wewe, mimi ni shabiki niliemuwazi, na ninasema rasmi, bodi ya MU isipokuwa serious enough, CITY will dominate Manchester in Football.

Yes. So far United has beaten Goons and Spurs, list to Rebt Boys and Shitty, and drew with Scousers. That’s 7 out of 15 points in the 1st round. Not enough, but no need to be concerned, as we have a second round to take our revenge!

Note enough at all, and please put spurs away from the list of rivals that tunajisifia kuchukua point, they have always been our vibua, never a threat they were.

Why should United allow to be 3 nil down? I can’t see a José’s team being in such a situation. As a supporter, why do you even use that as a yardstick of measuring the team’s passion?

I didnt see a fight in MU vs MC when we were 2-1 down, i saw a fight when we were 1-0 down only. And are you asking why should united be 3 nil down.... what kind of a question is this? why did they allow to be 1 goal down when facing City?

Na wewe kutumia game dhidi ya Shitty kuthamini kazi ya José kunakufanya uonekane kama ‘hater’. I have never liked José as a football coach. But, I support him as he is the United’s boss now.
Sijatumia mechi ya city tu, nimetizama mechi zote na big games. Kwanini naitumia sana ya City ni kwa sababu the way he approached the game. IT WAS A MUST WIN GAME AND WE DIDINT SHOW LIKE WE WANTED TO WIN THE GAME. WE WANTED A DRAW TO KEEP THE 8 POINTS GAP AND PRAY SOME SHITTY TEAM GRAB 3 POINTS FROM CITY. Jaribu kuelewa kuwa hii mechi iliwakera sana MU fans. I mean hebu tizama how we got the draw before half time, nambie haijakupa hope kuwa tayari MU wameshajua weakness ya CITY na kwamba kipindi cha pili tungeweza kuwafumua?

Jambo la mwisho ambalo uwa nina tatizo nalo na football critics kama wewe. Unavyomkosoa José unatumia baseline info gani? Je, unatumia mechi tu unayoiona luninga ama? Hivi una uwezo gani wa kusema José anafanya sivyo, ilhali yeye ana all the baseline info, facilities na supporting staffs wanaowaona wachezaji almost on daily basis wakifanya mazoezi?
Kwa mentality yako, maana yake fans asihoji anachofanya kocha, kwa sababu kocha ndio anajua nini anafanya, mana kocha ni Mungu wa mpira au 😀 😀 😀 Basi sawa anafanya sawa sawa ndio maana kaachwa kwa point 11 sasa. Hakosei Kocha kabisa, kocha kenda kasomea ukocha na ana leseni ya ukocha kabisa, mi na wewe hatuna leseni kabisa 😀 ata sio ball boys ambao tukawepo uwanjani tukajua 😀 This is funny and pointless.... Tusibiri kocha amkosoe kocha (PEP tayari amefanya). Na pia mpira utizamwe na makocha na wachezaji tu, hakuna haja ya fans kwa sababu tunatizama kwenye luninga.

Kwaio kocha akiwa hana plan B, mimi as a fan nisihoji?

Tafadhali watu wasimhoji rais, kwa sababu sisi ni raia tu, tumwache afanye anavoona sawa maana yeye ndio anajua situation.

duh
 
I wonder kama unakumbuka SAF alikula goli 6 OT dhidi ya Shitty ya ‘Why always me’. Sijui ile game nayo ‘uliichambua’ hivi na ku-question SAF’s managerial prowess?
Mkuu, SAF akifungwa ujue amejaribu mbinu zote siku hio gemu imemkataa. Huyu babu alikuwa anakaribia kupigana na wachezaji anapoona wanamhanisi. Huyu Babu ilikuwa inamuuma kuona MU inafungwa na MC, yaani huyu babu tangu anaichukua timu, nia yake ni kuifanya the biggest empire in England and the world in general, ameipigania mpaka imefika ilipofika. His Passion was in MUFC. MOU, he is using the team as a Bridge to get another job.

Unafikiri SAF tulivofungwa na Man city angeenda chumba cha man city na kuwaambia wapunguze kelele? Angeenda kwa wachezaji na akawaambia kuwa anataka mechi ya marudiano iwe wao ndio wa kufanya hizo fujo ndani ya Etihad
 
United Lineup

3e5fd7467d2d3db2791d399829f59987.jpg
 
..Van Gaal alileta man u mpira wa kuvutia pasi nyingi hakuna kudefend mkamtimua.....man u fans hamna jema
Hawa wote wawili ni wale wale tu, tofauti yao ni maagizo tu. Mou hataki timu ifunguke iende mbele bali anapendelea timu ikae nyuma zaidi, LVG alitaka timu yake imiliki mpira zaidi ila tabia ya kimbelembele kwenda kushambuliashambulia aliwataka wachezaji wakome. Na Man U mfumo waliouzoea kwa miaka yote ya SAF ni Attack! Attack! Attack!
 
Hakuna timu epl yenye uwezo wa kupambana na PSG,BARCELONA, BUYERN.....hata man city hana uwezo huo
City hii siyo uliyoizoea ndugu yangu. Hii inakufumua na mpira inakutandazia. Kinachoniuma ni jibsi sahz city wanavyochonga huko ulaya. Tungekuwa mashabiki wa United tulio ugaibuni hasa pale jijini Manchester huenda tungeziba masikio na Big G kisha tungeingia uvunguni
 
City hii siyo uliyoizoea ndugu yangu. Hii inakufumua na mpira inakutandazia. Kinachoniuma ni jibsi sahz city wanavyochonga huko ulaya. Tungekuwa mashabiki wa United tulio ugaibuni hasa pale jijini Manchester huenda tungeziba masikio na Big G kisha tungeingia uvunguni

Not to that level. EPL is different. Mark my words, next round ushangaa city anapumuliwa kisogoni na Chelsea, wala sio United or any other team, Chelsea!
 
Mkuu, SAF akifungwa ujue amejaribu mbinu zote siku hio gemu imemkataa. Huyu babu alikuwa anakaribia kupigana na wachezaji anapoona wanamhanisi. Huyu Babu ilikuwa inamuuma kuona MU inafungwa na MC, yaani huyu babu tangu anaichukua timu, nia yake ni kuifanya the biggest empire in England and the world in general, ameipigania mpaka imefika ilipofika. His Passion was in MUFC. MOU, he is using the team as a Bridge to get another job.

Unafikiri SAF tulivofungwa na Man city angeenda chumba cha man city na kuwaambia wapunguze kelele? Angeenda kwa wachezaji na akawaambia kuwa anataka mechi ya marudiano iwe wao ndio wa kufanya hizo fujo ndani ya Etihad

Bruv, we can go back and forth, at the end of the day, kila mtu ana mitazamo yake. Sikubaliani na mitazamo yako, kwa sababu so far naridhika na timu ilipo.

Wewe huridhiki, hivyo ndivyo unavyoona.

One love!
 
Tafadhali watu wasimhoji rais, kwa sababu sisi ni raia tu, tumwache afanye anavoona sawa maana yeye ndio anajua situation.

duh

Rais kachaguliwa kwa kupigiwa kura na wananchi. Yaani Rais ni mtumishi wa wananchi. Rais anatekeleza majukumu yake kwa kutumia pesa zitokanazo na kodi wananchi wanazolipa. Hivyo anawajibika kwetu sisi wapiga kura. Na kwenye demokrasia ya kweli, Rais anapohojiwa na wananchi (kupitia Bunge ama njia nyingine) analazimika kusikiliza.

Hivyo huu mfano wako hau-apply kwani José hajachaguliwa kwa kura. Hata ukimhoji, ni kelele tu, kwani hana haja ya kukusikiliza. Wewe kama mshabiki hauna haki ya kumhoji. Mwenye haki ni mwajiri wake, the Glazers na bodi ya United. Pili, huchangii hata senti 1 kwenye majukumu ya José pale OT! José hawajibiki kwetu sisi mashabiki.

Mwisho, tukubaliane kutokukubaliana!

[HASHTAG]#letsgounited[/HASHTAG]
 
Pengine kwa kutumia historia ya EPL!
Historia imebadilika. Zamani Mou alikuwa akipaki cjui basi ilikuwa shughuli kweli kweli kupenya, lakini sahz anapaki basi na watu wanatengeneza nafasi za wazi za kutosha na bado wanamshona na meli zake
 
Back
Top Bottom