Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Paniki 2 mkubwa hujazuiwaTushakupuuza sisi we hangaika ukitoka hapa nenda kule madrid
Pia sijui wapi nimemlinganisha lukaku na lacazatte mara sijui rooney mara sijui ibra upo sawa sawa wewe kichwani kweli wenger hajakuacha salama fuatiia tunachopost wenzio halafu angalia na utumbo unaojibu utajigundua dish limeyumba lukaku kwa kukusaidia hajafeli ana goli 9 na assist 4 uefa ana goli 4 huoni kama faida?
Aliyemponda lacazette hapo juu ni nani si ww? Na wakati unatambua kuwa una straika anayefunga kwa machale
Usiniambie mm mambo ya kwenda madrid ka umeipenda thread yao nenda
Naomba niachane na wewe endelea na timu yako
