Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

kweli bado mtoto unaiuliza manchester ya 2008? na ya 99/2000 iliyobeba treble?

kisha utakuja kuuliza barcelona ya 2011had 2013 ipo?

au hujui mpira una transition yake na vizazi vyake?

punguza hasira na chuki tatizo mnapigwa sana na hiyo unayoiita united of manchester utapumua siku ukishinda 10-0

huyo pep mwaka jana hakuwepo? alibeba nini?
Mi si shabiki wa city kuhusu pep kawaambie wana city
Unataka kujilinganisha na barca?
Eti barca hadi 2013!!! Unaikumbuka barca ya 2015 ww?
Barca kakuacha mbali sana kisoka
Kakupiga fainali zote mbili za UCL na kibabu chako fergie
Barca haijazikwa Kama ww.Ipo kwenye ubora wake

ENDELEA KUSHANGILIA UUZWAJI WA JEZI
 
mpuuze huyo ashakata tamaa kama lacazatte

Si lukaku?
Mtu aliyecheza dakika zote EPL lakini mmhhh!!!!!!
Faida ya kumtema Rooney ipo wapi si bora mngebaki naye awafungie mabao
Kazi kununua viazi ka ibra na wachezaji msiojua kuwatumia ka miki
Usamfananishe lakanyavu na mikubwa jinga
PUNGUZENI KUPAYUKA NA KUTALK NONSENSE
 
Mi si shabiki wa city kuhusu pep kawaambie wana city
Unataka kujilinganisha na barca?
Eti barca hadi 2013!!! Unaikumbuka barca ya 2015 ww?
Barca kakuacha mbali sana kisoka
Kakupiga fainali zote mbili za UCL na kibabu chako fergie
Barca haijazikwa Kama ww.Ipo kwenye ubora wake

ENDELEA KUSHANGILIA UUZWAJI WA JEZI

Napata shida sana kuona unavotapatapa. Unaonesha dhaili jinsi ambavo hujiamini..Jaribu kuishi maisha yako huko na Timu yako Arsenal..

Ukifuatilia ya Huku utaishia kuandika kwa jazba siku zote mambo yasiyo husu timu yako. Ni vizuri ungekuwa unachambua soka kitaalamu bila kuweka mambo yako binafsi.
 
Aisee sihangaiki kubishana na wewe ni sawa na kujipotezea muda bure.
Tunapotezeana muda kwa sababu IQ zetu haziendani
Huna pointi za msingi na hoja zimekuisha
Kaa chini,fanya mambo yako na pambana na hali yako

Enjoy your day!!!!
Halla
 
Napata shida sana kuona unavotapatapa. Unaonesha dhaili jinsi ambavo hujiamini..Jaribu kuishi maisha yako huko na Timu yako Arsenal..

Ukifuatilia ya Huku utaishia kuandika kwa jazba siku zote mambo yasiyo husu timu yako. Ni vizuri ungekuwa unachambua soka kitaalamu bila kuweka mambo yako binafsi.
Mambo gani binafsi nimeweka?
Au kisa nimeitaja barca?
Ndiyo timu yangu barca hivyo cijaingilia uwanja usionihusu kama unavyodai
Ameiponda barca hivyo nimetoa hoja zangu kuponda hilo swala

Ninyi man u ntaendelea kuwaambia ukweli hata mkimind
Ndo uwezo wenu wa sasa ulivyo
Ndo uwezo wa striker wenu wa sasa ulipoishia
Hakuna haja ya kubishana kitu kinachoeleweka
Mtabaki hivyohivyo kama makocha mlishabadili sana na kama wachezaji mshanunua na kuuza ka njugu

Hakuna namna mpira ushawakataa kabisa
Kilichobaki ni kupambana na hali yenu 2.
 
25398989_1562701863825451_6893154947192800031_n.jpg
 
Si lukaku?
Mtu aliyecheza dakika zote EPL lakini mmhhh!!!!!!
Faida ya kumtema Rooney ipo wapi si bora mngebaki naye awafungie mabao
Kazi kununua viazi ka ibra na wachezaji msiojua kuwatumia ka miki
Usamfananishe lakanyavu na mikubwa jinga
PUNGUZENI KUPAYUKA NA KUTALK NONSENSE
Tushakupuuza sisi we hangaika ukitoka hapa nenda kule madrid

Pia sijui wapi nimemlinganisha lukaku na lacazatte mara sijui rooney mara sijui ibra upo sawa sawa wewe kichwani kweli wenger hajakuacha salama fuatiia tunachopost wenzio halafu angalia na utumbo unaojibu utajigundua dish limeyumba lukaku kwa kukusaidia hajafeli ana goli 9 na assist 4 uefa ana goli 4 huoni kama faida?
 
Mi si shabiki wa city kuhusu pep kawaambie wana city
Unataka kujilinganisha na barca?
Eti barca hadi 2013!!! Unaikumbuka barca ya 2015 ww?
Barca kakuacha mbali sana kisoka
Kakupiga fainali zote mbili za UCL na kibabu chako fergie
Barca haijazikwa Kama ww.Ipo kwenye ubora wake

ENDELEA KUSHANGILIA UUZWAJI WA JEZI

Dogo akili yako haiko sawa wapi kwenye coment yangu nimeizungumzia barca uwezo wake sawa na united? Nimezungumzia vizaz na upitaji wao na amekujaje hapa haya tuje kwa huyo huyo uliemleta.

Barca wana mpira gani wewe? Hata mm nshamnyoosha mara mbili zote nusu fainali na nimenyakuwa ndoo kupitia barca labda kwa kuwa anawafumua arsenal kila mkikutana nae hatua ya 16 mnarud kwenu umamua kuhamia barca

Nakuuliza msimu ulioisha pep kabeba nn na mourinho kabeba nini unatoa maelezo yasiyo na tija alipigika kisawasawa had kawakimbilka wakina walker yule angepewa united angeishusha daraja muone mourinho had muda huu hana papara wakina lingard wanapata namba na wanakufumua.
 
Beki wa Manchester United Eric Bailly atafanyiwa upasuajiwa kifundo cha mguu na kukaa nje miezi mitatu
Bosi wa United Jose Mourinho alisema katikati ya juma kuwa beki huyo wa kati atapigwa kisu kurekebisha tatizolae, na amethibitisha Ijumaa kuwa hofu yake imedhihiri.
"Anakwenda kufanyiwa upasuaji, uamuzi umefanyika," Mourinho alisema. "Sisemi kwamba yupo nje kwa muda wote wa msimu, lakini kwa miezi mitatu ijayo."
Mchezaji wa kimataifa wa Ivory Coast Bailly amekosa mechi nane mfululizo, na mechi ya karibuni aliyocheza ni ile waliyofungwa 1-0 na Chelsea November 5.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 alipata majeraha kwenye majukumu ya kimataifa lakini Mourinho alisema mapema juma hili kuwa anaridhishwa na wanaoweza kuziba pengo lake.
Alisema: "Nimemchezesha [Chris] Smalling na [Phil] Jones na tunaye [Victor] Lindelof na [Daley] Blind kwenye benchi. Marcos Rojo alipata majeraha [dhidi ya Manchester City] lakini tatizo si kubwa.
"Katika msimu wote, tumekuwa na tatizo la mabeki wa kati, lakini kwa sababu namba ni nne au tano, mara zote tunaweza kutumia wachezaji tulio nao.
"Chris Smalling anacheza vizuri sana kwa mechi saba au nane mfululizo, kwa hiyo tuko vizuri."
 
Tetesi

Meneja wa United Jose Mourinho pia yuko tayari kumuuza kiungo wa kati wa Armenia Henrikh Mkhitaryan, 28, majira ya joto na anataka kumnunua kiungo wa Arsenal na Ujerumani Mesut Ozil, 29, kujaza nafasi yake. (Daily Mirror)
Wasiwasi wangu ni kwamba huyu Mkhitaryan anaweza kutoka akaenda kuwa moto wa kuotea mbali chini ya kocha mwingine. Mfano hai ni KDB
 
Wasiwasi wangu ni kwamba huyu Mkhitaryan anaweza kutoka akaenda kuwa moto wa kuotea mbali chini ya kocha mwingine. Mfano hai ni KDB
Kila kocha anafalsafa zake sio lazima kila mchezaji afit kwenye hizo falsafa.fergson aliwahi kusema kunawakati kocha inabidi ile hali ya kibinadam imuondoke katika kufanya maamuzi
 
Back
Top Bottom