Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Correct me if i am wrong, MOU parking the Bus ameanza Inter not Chelsea. SAF kutomfunga Mou tayari it is proving my point, kwamba Mou wa sasa sio yule wa mwanzo, kwa sababu kama SAF anacheza sasa with his style, Mou analiwa, maana MU ya SAF hawaweki mapambo harusini, wakilisogelea goli tu, wanasukuma rungu. MOU yule alihakikisha Chelsea inakuwa timu tishio alitengeza timu ambayo ilibalance kwenye section zote, Defense walikuwa vizuri, mido palikuwa vizuri na ukija uko mbele ukiambiwa ummark Drogba kichwa kinaanza kuuma. Chelsea ilikuwa chelsea wakati wake, na foundation aloiacha chelsea ndio mpaka sasa imekuwa bado iko top 4. MOU sasa amekwisha, sikatai kila kocha ana falsafa yake, ata LVG alikuwa na falsafa yake, cheza pasi magoli si lazima, David mayai nae cheza kiudosho lakini usijue unafanya nini. MOU, park the bus tupate 1 point.

Usibishe kabisa ukanambia MOU ndio yule yuleeee...... maana basi kaanza kupark inter, apo tayari kashatimuliwa chelsea.
All aboard! 7 times Jose Mourinho parked the bus... and what happened next
 
FB_IMG_1513490303182.jpg
 
Dah leo sijui kama tutapunguza gap kubaki 11. Nahisi zitabaki 14 ama 12.
 
Tetesi
Mkufunzi huo wa ManUnited boss Mourinho ana nafasi ya kusajili wachezaji mwezi ujao, licha ya kwamba sio shabiki wa msimu wa usajili Januari. (Daily Mail)
 
Tetesi

Mchezaji kiungo cha kati raia wa Armenia Henrikh Mkhitaryan, 28, ametemwa na mkufunzi wa Manchester United, Jose Mourinho baada ya kuzuka mzozo kati yao wakati wa tathmini ya mechi katika uwanja wa mazoezi mwezi uliopita. (ESPN)
 
That is what is missing, mechi ile juzi city fans wanaimba park the Bus park the Bus manutd!!! Let him play his defensive football, but that should be the last resort. Man utd lack motivation and the need to shut their rivals.

Time has changed, ilikuwa vita baina ya MU na Liver, imekwisha imeingia MU na Arsenal, imekwisha, sasa ivi MU haina vita na yoyote, Kuna vita ya Mourinho na Guardiola na Guardiola hana time nae sasa ana focus kwenye kujenga MC. The Fall of MU and the rise of MC itatokea ikiwa MU board is not serious about football anymore.
aiseeee kweli tupu
 
That is what is missing, mechi ile juzi city fans wanaimba park the Bus park the Bus manutd!!! Let him play his defensive football, but that should be the last resort. Man utd lack motivation and the need to shut their rivals.

Time has changed, ilikuwa vita baina ya MU na Liver, imekwisha imeingia MU na Arsenal, imekwisha, sasa ivi MU haina vita na yoyote, Kuna vita ya Mourinho na Guardiola na Guardiola hana time nae sasa ana focus kwenye kujenga MC. The Fall of MU and the rise of MC itatokea ikiwa MU board is not serious about football anymore.


chilubi sio kirahisi hivyo kama unavyofikiria the fall of manchester united lazima utambue hakuna timu isiyopitia kipindi cha mpito labda arsenal na liverpool tu wao hawapendag kutumia pesa ila ukifuatilia tukianzia barcelona ulikuwa unaiona miaka ya 2000 had 2008? madrid toka 2002 had 2010? njoo buyern toka 2002 had 2009 hizo zilikuwepo ila hazikuwa na nguvu baada ya wachezaji wao manguli kustaafu

ukija sauala la manchester united sio kazi nyepesi kama unavyofikir wamepita makocha wa ngapi? hiyo ni baada ya sir alex kukaa miaka 26 unafikir ni jambo jepesi ndugu mpeni credit mourinho na heshima

ukija suala la bodi hapo umekengeuka ndugu kwamba hawapo sirias huo ni uongo angalia thaman za wachezaji wanaonunuliwa utailaumu vipi bodi ndugu?

zama za mwisho kipind sir alex anastaafu kuna baadhi ya wachezaj walikuwa tayar umr umekwenda hadi anaondoka hatukupata kiungo mkabaj had alimuomba scholes arud uwanjan leo mnalaumu mourinho kama ana miaka 3 kumbe wapi


ukiangalia ktk mapendekezo yake ya wachezaj safar hii kampata mmoja tu victor lakin wa 3 hakupata chukulia tu kampata perisic na greizman huoni kama alikuwa anatimiza lengo lake?

wakina martial ni wachezaj wazur lakina hawana form ya kudumu leo yupo safi kesho hovyo kocha afanyaje?
 

Bro, umeleta link kuonesha mara 7 Mou akipark Bus..... 7 out of how many big games hebu nambie where he didnt park the bus back then.

Kwa analysis ya izo individual games, sio Mou tu ambae anacheza defensive play. Hata fergie kuna some games anaplay defensive.

Na trend ya Mou parking the bus imeanza Inter, kwa sababu hapa ndipo alipoanza ku abuse his system. Lazio na Porto, gemu ambayo porto alikuwa kashampiga nne mwanzoni, hata guardiola na expect kujali kudefend tu next leg na sio kutaka kuongeza mana you are running a risk of players being injured.
 
ifike mahali tutambue mchango wa mournho ni mkubwa mno ukikuta hata wamiliki wa timu hawaongei ujue wameona kuna kitu mashabik siku zote ni watu wa matokeo

kuijenga timu iliyoondokewa na kocha aliedumu kwa kipind kirefu sio jambo jepes hata arsenal akiondoka wenger mtaniambia shughuli yake
wakati wako wa kumtetea mourinho sasa ila ukweli unabaki pale pale team yenu inashinda lakini mchezo hauvutii kabisa
 
Back
Top Bottom