Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,913
- 10,263
Wana bahati sana walienda kuzuia kwa mgangaFrom Arsenal to Arse8, and today will be Chel6 from Chelsea
Wana bahati sana walienda kuzuia kwa mgangaFrom Arsenal to Arse8, and today will be Chel6 from Chelsea
Mkuu it was a very open game bila kusahau very entertaining. I was a nervous wreck throughout the 90 minutes lol.Hongereni kwa ushindi, lakini hii game ingeweza kwenda either side, loads of missed goals!
Mkuu it was a very open game bila kusahau very entertaining. I was a nervous wreck throughout the 90 minutes lol.
Hongereni kwa ushindi, lakini hii game ingeweza kwenda either side, loads of missed goals!
Yeah, game ilikuwa very open with loads of chances, ingeweza kuwa cricket score kama wangekuwa makini.
Hahahahaaaa......unakuja mwishoniiiii.....Ulikua wapi Ulamaa????? nimekuja kule kwako na hukuonekana kabisa....mambo vp???? Pole sana asee.....
Unajipa moyo eehh!!!! Pole bana.....
Ahsante!
Sijipi moyo huo ndio ukweli wenyewe kama unataka kuwa fair. Kila timu imekosa mabao ya wazi mengi tu, au ulikuwa unaangalia mechi gani chief wangu?! Haikuwa nusu uwanja kama ile ya 8-2.
Ulisema mta-MTAIBI De Gea vipi?Sikuwa kwenye mazingira ya kuweza kupost mkuu.
hahahahaaaaaa.........Ila sote tumepoteza point 3....uongo???? Na kwa nini kwenye game kama hii uende kwenye mazingira usiyoweza kupost while unajua ulikuwa ni key player hapa jamvini?????? Narudia...POLE KWA KICHAPO........Tht TORRES Miss was GREAT....Nani GOAL was Fabulous.....
Ulisema mta-MTAIBI De Gea vipi?