You speak my mind brother......Kwa kweli macheda bado anasafari ndefu kwa style anayocheza hafai hata kukaa benchi
You speak my mind brother......Kwa kweli macheda bado anasafari ndefu kwa style anayocheza hafai hata kukaa benchi
Kwa kweli macheda bado anasafari ndefu kwa style anayocheza hafai hata kukaa benchi
Berbatov ana drop deep kuchukua mipira, tuna RB (Valencia) na CM mpya in Berbatov lolNaona hata berbatov is out of touch today..........ila diouf anajitaidi sana.
Berbatov alicheza kama centerhalf dakika za mwisho, ila Carrick alikuwa CB. Timu ilianza na mabeki wawili tuu Fryers na Fabio.Hongereni mashetan wenzangu...mechi ya jana usingizi umenibeba kuja kustuka dakika ya 82...mnasema Park alicheza centre half?..u aint serious mates.
Berbatov alicheza kama centerhalf dakika za mwisho, ila Carrick alikuwa CB. Timu ilianza na mabeki wawili tuu Fryers na Fabio.