Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Eeeh hata sisi wenyewe walitushambulia sana na ukipata kamuda cheki replays.
Hizi ni statistics za mechi kati ya Chelsea VS United 2014-2015 ,Game ya OT iliisha 0-0
Chelsea walishinda 1-0 darajani,hizi stats ndio unasema Chelsea waliishambulia United ?
SB.png
 
Beki wa Manchester United Eric Bailly huenda akahitaji kufanyiwa upasuaji zaidi kwenye jeraha "mbaya" la kifundo cha mguu, anasema meneja Jose Mourinho.
Mourinho amesema beki huyo wa kati wa miaka 23 ambaye aliumia akichezea Ivory Coast.
Hajachezea United tangu walipolazwa na Chelsea mnamo 5 Novemba.
Hata hivyo, anatarajiwa kurejea kabla ya msimu kumalizika.
"Sitaki kuwa mtu wa kuonesha kutokuwa na matumaini. Namwachia madaktari.
"Tunajaribu kutumia matibabu kwa kipimo, lakini hilo lisipofanikiwa, labda atahitaji kufanyiwa upasuaji lakini hebu tusubiri muda kidogo.

Mourinho hata hivyo amesema amefurahishwa na kurudi kwa mabeki wengine Chris Smalling na Phil Jones ambao walianza kwenye mechi ya Jumatano ambayo walishindwa Bournemouth 1-0.
Bailly alikuwa mchezaji wa kwanza kujiuna na United baada ya Mourinho kuteuliwa meneja.
Alijiunga nao kutoka Villarreal mwaka 2016 kwa £30m.
 
Sifa za mashabiki wa man u;
1.Hawajui mpira,wengi wao hufuata mkumbo
2.Wanaongea sana kuliko uwezo halisi wa timu yao utawasikia leo tunashinda 4g halafu wanashinda 1g au wanapata kipigo kabisa
3.Ni mabingwa wa kuvamia thread za watu hata kama wao hawana mechi halafu mambo yakiwaendea kombo huingia mitini tafikir hawapo
4.Wakifungwa mechi husingizia mchezaji fulani hayupo eg PP
5.Timu yao haijui kucheza mpira ila wanalazimisha ionekane inajua utasikia man city tuliwabana walitubahatisha magoli tuliwapa pasi sisi,mara hatutaki kuposses mpira tunacheza mpira wa mashambulizi wa fergie halafu wanaambulia shots on target 4 mechi nzima
Ushauri:Hamuwezi kupambana na city na sasa mnatakiwa kupambana ili mshiriki uefa next season
jinsia yako please
halafu hapo mwisho unaposema hatuwezi kupambana na city wew ndio unaweza kupambana nao
 
Wenger believes Mou and Pep could learn a lot from sumo wrestlers. But who'd emerge victorious?
25152177_10155961260228598_2036445373744655423_n.jpg
 
Unajipoza machungu Sawa mashabiki wa arsenal mnajua mpira msaidieni kocha wenu muongoze ligi toka juz upo huku ilikuwa unashangilia ushindi wa city akasahau kama moyes anakusubili toboa sasa
Nani ashangilie ushindi wa city
Fuatilia mm post zangu ka namfagilia city.Muda mwingi waga namponda
Mimi shida yangu nyie.Nyinyi united of Manchester.Sikumbuki mara ya mwisho man united ilicheza ln ila united of manchester ndo naonaga inachezaga.
Where is our man united which won UCL in 2008?
The answer is easy,It has been buried within the core of the earth

MAN U SAHAUNI UBINGWA KANYWENI MBEGE KIJIJINI KWETU TULIPOZALIWA MIMI NA LUKAKU MPUNGUZE STRESS!!!
 
Back
Top Bottom