Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jose Mourinho wasn't happy with the referee's display in the Manchester Derby, but Pep Guardiola is taking no notice
 
Jose Mourinho - undefeated at home on Sundays!

Played: 105
Wins: 81
Draws: 24
Losses: 0
daah rekodi ishavunjwa hii
 
Hahahahaha yaani mnachekesha kwa comment zenu humu, yote haya amesababisha Babu seya haiwezekan atoke tu mambo yawe hivi hahahh
 
Hakika malipo huwa ni hapahapa Duniani huyu bwana mkubwa Mourinho amemtesa sana mzee wenger ila na yeye anateswa sana na mtu mmoja anaitwa Guadiola,kama vile haitoshi aliwahi tamka maneno mengi sana ya kashfa juu ya mzee AW.

Jana Pep kajipigia tena mteja wake katika mechi ishirini Mo hajashinda zaidi ya mechi tano hiyo ni tafsiri ya unyonge,hakika namuona mo akikimbilia PSG kumkwepa huyu mbabe wake maana hana namna kwa tafsiri ndogo kama Pep asingekuwa epl maana yake Mo angechukua ubingwa ila hilo kwa msimu huu hawezi.

[Hakika karma is B!...]
 
Mkuu Samahani Nakuuliza tu Kisport Kabisa! Hivi City atakapokuwa anacheza EPL, FA na UCL wewe United hutocheza League hizo utakuwa unarelax tu?
Nilivyosema, ninamaanisha ina apply both ways! So, it will be game of chance.
 
Wewe umepigwa kwako kwake utaaibishwa
 
Huo ni ukweli, katika magoli yote mawili hayakuwa yametengenezwa kwa mfumo. Yalitokana na dead balls ambazo kimsingi huwa ni bahati.

All in all United miaka yote huangaika kwa City, Liverpool na Arsenal.hata enzi za Fergie
Hata real Madrid 79% ya magoal yake yanatokana na set pieces
 
Magoli yao yalikuwaje?? Hapo ndipo ilipo hoja. Uchezaji wa United ni wa kiufundi sana japo watu wanachukulia powa sana.

Mpaka Pep anacheza na beki watano so kawaida.

Movement na derribling za Debruyn hazikuwepo. Only Sterling was active
Mda gani walikuwemo mabeki wa 5 mkuu au mpira hukuangalia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…