Ndio unamjua Mourinho leo ?wachezaji ukiacha individual mistakes wanacheza kulingana na
maelekezo ya kocha.
city wanafungika ukicheza Mpira...na wachezaji wa kufunguka wapo utd y asiwatumie?
Tumecheza mpira mbovu sana....
Aisee lazima mshindeRashford, Lingard, Martial na Lukaku kuongoza mashambulizi.
Ushindi umeuona?Ukiona Mo Anaongea Kwa Kutojisia Na Kuweka Umakin Katika Team Bass Jua Hapo Kuna Ushindi Mnono
Mara Nyingi Mo Akizungumzia Mechi Kwa Dharau Huwa Anafungwa Au Ku Draw
Na kweli mmeua ngapi?Kikosi cha mauaji
De Gea; Valencia (c), Smalling, Rojo, Young; Matic, Herrera; Rashford, Lingard, Martial; Lukaku.
Tangu mwanzo nilipinga sana ujio wa Jose lkn wapo waliomshangilia ungefikiri hawajui nini angefanya.
Identity ya Man Utd imepotea kabisa yaani uwanja wa nyumbani possession mnazidiwa,shoot on target mnazidiwa yaani kila kitu mnazidiwa tena isitoshe team imekuwa predictable kuliko wakati wore.
It's high time decisions maker walaliona hili mapema.Majuzi Westharm pamoja na kufungwa lkn walicheza mpira leo Jose anakuja mbinu za kijinga
Lukaku ameassist goal la otamendi safi sanaRashford na Lukaku natabiri ndiyo wataiua Man city.
Na kweli amekataLeo ni siku ya Lukaku kukata kiu yake ya magoli....
Kashapigwa tayari magori ya papii kocha dk7 na dk 92Man City anapigwa 2 bila.
Kweli hao mabeki hovyo kabisa ndyo maana mmeshindaKompany na Otamendi weupe sana. Timu yao inashambulia sana hawapati kashkash. Mou analijua hilo ndio maana kawaweka Rashford na Martial. Watakimbizwa hao hutaamini.
BrainlessNimeshahakiki kwamba city anakufa. Naangalia mpira kwa raha zote now.
Ongezea man united lostWeekend yangu itakuwa nzuri tukishinda...
Arsenal DRAW
Chelsea LOST
Liverpool DRAW